Je, hawa tu ndio CCM vyuo vikuu?

Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! Huwa unanifanya nicheke sana!!
NILIJIUA TU UTAFIKA WAKATI UTAKOSA HOJA NA KUGEUKIA PERSONAL ATTACK, POLE SANA! TOKENI HUKO UTAKUFA KWA KIHOLO WEWE. KUNA WATU WANA ESTABLISHMENT ZAO WEWE, AKIAMUKA TU KAZI YAKE NI KUPANGA MAJESHI NA KUCHECK CASH-FLOW INAVYOKWENDA HUKO COORDINATION ZIKIENDELEA KWA TELECOM, SIO KUSUBIRIA VI-POSHO VYA THE NAPEs KWA KUWEKA MATAPISHI YA CCM JF.

Mkuu Molemo,
Hivi mkate wa watoto uwa unatafuta muda gani muda wote upo JF.
 
Bango moja limetuletea maana mpya ya mapinduzi kuwa ni kutokata tamaa!!!kwani nani katika CCM ana dalili ya kukata tamaa na nini kimesababisha hali hiyo?
Hivi mapinduzi si tulisoma kuwa ni mabadiliko ya ghalfa katika nyanja za kisiasa,kiuchumi kijamii na kiutamaduni yanaoendeshwa na, kwa faida ya tabaka tawaliwa?

Ningependa kusikia Nape amemweleza huyo bibi na wenzake kuwa yeye,alipata nafasi ya kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ,mwaka 2002,akiwa na miaka 24 tu ,wakati huo bado akisoma Chuo cha Siasa Kivukoni katika ngazi ya CHETI (CERTIFICATE) na wala si chuo kikuu!!
Sijui wangejiskiaje hao wanamapinduzi wasiokata tamaa.utashangaa wao wanaota vyeo!!!

Kuna bango linataka serikali iwachukulie hatua wakosoaji wa CCM na serikali!!!
Wanajua idadi ya waajiriwa wa serikali wanoichukia CCM & serikali?
Hizo hatua zikianza kuchukuliwa wapo tayari kukabiliana na matokeo yake ?
Wanajua kama UDSM ndio palipo na wahadhiri wanaoikosoa serikali ipasavyo?
Wanajua kuwa wahadhiri wa pale kila leo wanalia kuhusu 'Uhuru wa Taaluma'na kuwa walisikitishwa na sakata la kumnyima Baregu mkataba mwaka 2010.Wanajua kuwa hata kada mwenzao, Dtk Benson Bana alisononeshwa na hatua hiyo?
Wanajua kuwa madhara ya pendekezo lao hilo la kitoto?
 
Jeikei alisema hawaruhusu siasa vyuoni!,je jaman hii sio siasa?Huu ni usen.G..E tena wa hali ya juu!,C.C.M acheni kuchezea akili zetu!,juzi kati tu pale Chuo kikuu cha dodoma U.D.O.M wanafunzi takribani 25 walifukuzwa chuo eti kisa wamepanda gari na kuvaa gwanda za chadema kuelekea mjini dodoma kwenye kampen za uchaguz mdogo wa diwan kata ya chang'ombe,but walikwenda mahakaman na kesi wakashnda wakarudi!,leo hii hawa wa dar ccm wanaandamana hata kuzuiliwa na polisi hamna,wala kufukuzwa chuo ni ndoto.Swali je hawa sio wanachuo?.Serikali acheni upendeleo na uonevu kwa vyama vya siasa na kwa wanafunz vyuoni.Msitufanye wapumbavu.
 
KUMBE hawa pia hata kiswahili hawajui embu angalia vizuri ujumbe wao duuuh? then mbona wamekata tamaa ivo
 
Back
Top Bottom