simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,786
- 9,719
ITV analogi off air
STAR analogi off air
TBC analogi off air
ZBC analogi ipo
reporting from Zanzibar.
analojia hadi ktk cmu yangu wamezima,mbona hawakusema kuhusu simu!
mm tv na king'amuzi chake haviwaki sijui nilikosea nn.
analojia hadi ktk cmu yangu wamezima,mbona hawakusema kuhusu simu!
analojia hadi ktk cmu yangu wamezima,mbona hawakusema kuhusu simu!
vipi jamaa walioko mikoa mingine kama mwanza, arusha, mbeya, n.k. Watuambie vipi huko ?
Arusha anaologia ipo on air
Jamani mi cna king'amuz, hivyo naiombeni mnijuze nyie mnaotumia ving'amuz, ni king'amuz gan kilichoshiba local channels baada ya kuzima huo mtambo wa analojia? HESHIMA KWENU WAKUU.