Hakupendi kwa dhati,anapendwa mwenzakoIla na kula mzee mtoto Ana nipa chini saana
Na pesa ninayo mpa nikipiga total sio zaidi ya 20000
Mimi kinacho nipa wasiwasi kwanini ataki kuachana na yule jamaa alafu Ana ni ambie niki zidisha mapenzi kwake ndo ata ni penda kweli kweli na kutoka kwa yule jamaa
Anampenda jamaa yake ila kwako anakupiga Pesa! First impression is the best impression mwanamke akikutaa the first time like serious jua hujamvutia na wala hatowahi kukupenda!Ila na kula mzee mtoto Ana nipa chini saana
Na pesa ninayo mpa nikipiga total sio zaidi ya 20000
Mimi kinacho nipa wasiwasi kwanini ataki kuachana na yule jamaa alafu Ana ni ambie niki zidisha mapenzi kwake ndo ata ni penda kweli kweli na kutoka kwa yule jamaa
Anampenda jamaa yake ila kwako anakupiga Pesa! First impression is the best impression mwanamke akikutaa the first time like serious jua hujamvutia na wala hatowahi kukupenda!
Siku akikupenda jua atajilazimisha kwa manufaa flani ambayo wengi ni kutaka kuvuna hela tu! Na ndio maana demu ukimlazimishia mahusiano kama hakupendi atakupiga vibomu hati utoke mbio!
View attachment 1806604
Una ona sms zake
Nje ya mada congo ipi hiyo kalemie,uvira au lubumbashi?Sorry kwetu Congo tuna call Tanzanie
Nje ya mada congo hipi hiyo kalemie,uvira au lubumbashi?
okay safi kumbe huko baraka nilikuaga huko kwenu kwakweli ni pazuri sana nitarudi tena uvira,kalemie na baraka nkMimi nipo baraka
okay safi kumbe huko baraka nilikuaga huko kwenu kwakweli ni pazuri sana nitarudi tena uvira,kalemie na baraka nk
umeshafika Tanzania ata maramoja?Mimi nipo baraka
Asante sana na wewe karibu sana ukuye siku moya.Karibu
huyooo ni chaguo lakooo!
Asante sana na wewe karibu sana ukuye siku moya.
kivipi-vipi tu.Kivipi
kivipi-vipi tu.
kuwa chaguo lake hapana uhusiano wowote na yeye kuwa na mtu mwingine.Una sema ni changuo langu
Sasa kwanini awe na mwanaume mwingine
kuwa chaguo lake hapana uhusiano wowote na yeye kuwa na mtu mwingine.