Je, hapa kuna mapenzi ya kweli?

Je, hapa kuna mapenzi ya kweli?

Ndugu zangu nime kuja apa kuomba msahada wa mawazo

Siku izi niliachwa na mke wangu
Lakini sasa kabla ya kuwa na mke wangu
Kuna dada fulani ambaye niliwai kumtongoza kipindi cha nyuma
Aka nipiga chini tena kwa kunizarau kinoma
Nika ona so case nika achana naye
Nika tafuta maisha yangu nikaja kukutana na uyo mke wangu aliye nipiga chini nika endelea na maisha yangu
Lakini tulivyo achana mimi nika ona siwezi kaa bachela na wakati mimi nime zoea kuwa na mke
Nika ona acha kwanza ni jaribu yule sister niliye wai kumtongoza zamani
Nili enda demu aka sema awezi kubali mtu ambaye Ana mke
Nika muelezea Hali halisi aka sema mbele ya kunikubali ata chunguza kwanza akigundua ninacho muambia ni kweli ndo ata nipa jibu
Na kweli akachunguza aka kuta ni kweli aka nikubali
Sasa bahada ya mimi kuwa naye kwenye mausiano naona mapenzi yake yana kuja na kasi kweli kweli
Mimi si jali naye yaani Nina mpenda na uku Nina mashaka naye kabisa
Ali nipa ukweli wake kabla ya kuwa naye kwenye mausiano Aliwai kuniambia kuna kijana ambaye wako naye kwenye mausiano kabla yangu lakini aka niambia kuwa mimi ndo Nina nafasi kubwa kwake ikiwa nita mjali na kumsamini saana na kumuonyesha mapenzi ya kweli
Lakini sasa kinacho nipa wasi wasi kwake ni kuwa akiwa na shida mimi ndo Ana kuja kuniambia
Niki kumbuka ata mke wangu tabia iyi alikuwa nayo
Sasa ndugu zangu apo kweli kuna mapenzi ya kweli au vipi maana
Na jiuliza kwa zarau zote alizo nionyesha mwanzo iweje anipende kirahisi ivo ?
Au kufata pesa tu
Kigezo cha kwanza kuandika hujuwi na ninahisi hata kuongea pia unaongea kwa lafudhi ya Kisukuma, yaani unagombeza maneno yako mwenyewe. Kwa mwanamke hii ni shida na kama niyasemayo ni kweli basi juwa kuwa wewe utakuwa mtu wa kuchezewa tu na mademu maana hujitambui na hauna mapenzi ya kweli kwani unaonekan kuwa bado ni mshamba wa kuja. Mrudie mkeo la sivyo utakuja lia siku huyu demu akikukimbia na kila kitu ulichonacho ndani ya nyumba pamoja na kondomu zako.
 
Kigezo cha kwanza kuandika hujuwi na ninahisi hata kuongea pia unaongea kwa lafudhi ya Kisukuma, yaani unagombeza maneno yako mwenyewe. Kwa mwanamke hii ni shida na kama niyasemayo ni kweli basi juwa kuwa wewe utakuwa mtu wa kuchezewa tu na mademu maana hujitambui na hauna mapenzi ya kweli kwani unaonekan kuwa bado ni mshamba wa kuja. Mrudie mkeo la sivyo utakuja lia siku huyu demu akikukimbia na kila kitu ulichonacho ndani ya nyumba pamoja na kondomu zako.

Haaaaaaaaaaa Mwanamke ataki kurudi kwake amesha ombwa msamaha ataki kusemehe nili amua kumpiga chini na Mimi sitaki upumbavu
 
Bahada ya apo. JF ni shimo la taka kila kitu kinatupiwa huku.
 
Kwanini usitafute Mwanamke mwingine ambaye hayuko kwenye mahusiano? Wanawake wapo wengi sana sana.
 
Huyo mwanamke sio chaguo lako
Nakushauri achana naye na tafuta mwanamke mwingine. Suala la kushindania penzi ni upumbavu.
Huyo mwanamke ananachezea tu. Hebu jiulize jamaa ake akijua itakuwaje maana naona kama unatafuta vita Mura.
Muache kwa style moja tu, mwambie huwezi kuendelea kushare penzi bora yeishe.
 
Ndugu zangu nimekuja hapa kuomba msaada wa mawazo.

Siku hizi niliachwa na mke wangu, lakini sasa kabla ya kuwa na mke wangu kuna dada fulani ambaye niliwai kumtongoza kipindi cha nyuma akanipiga chini tena kwa kunizarau kinoma.

Nikaona siyo case nikaachana naye, nikatafuta maisha yangu nikaja kukutana na uyo mke wangu aliye nipiga chini nikaendelea na maisha yangu. Lakini tulivyoachana mimi nikaona siwezi kaa bachela na wakati mimi nimezoea kuwa na mke.

Nikaona acha kwanza nijaribu yule sister niliyewahi kumtongoza zamani. Nilienda demu akasema hawezi kubali mtu ambaye ana mke. Nikamuelezea hali halisi akasema mbele ya kunikubali atachunguza kwanza, akigundua ninachomuambia ni kweli ndo atanipa jibu. Na kweli akachunguza akakuta ni kweli akanikubali.

Sasa baada ya mimi kuwa naye kwenye mahusiano naona mapenzi yake yanakuja na kasi kweli kweli. Mimi sijali naye, yaani nina mpenda na huku nina mashaka naye kabisa.

Alinipa ukweli wake kabla ya kuwa naye kwenye mahusiano Aliwai kuniambia kuna kijana ambaye wako naye kwenye mahusiano kabla yangu, lakini akaniambia kuwa mimi ndo nina nafasi kubwa kwake ikiwa nitamjali na kumthaamini saana na kumuonesha mapenzi ya kweli. Lakini sasa kinachonipa wasiwasi kwake ni kuwa akiwa na shida mimi ndo anakuja kuniambia. Nikikumbuka hata mke wangu tabia hii alikuwa nayo.

Sasa ndugu zangu apo kweli kuna mapenzi ya kweli au vipi maana

Najiuliza kwa zarau zote alizonionyesha mwanzo iweje anipende kirahisi hivyo?

Au kufuata pesa tu?
Acha uoga mzee wanawake wote ni wa moja kufanana tabia ni jambo la kawaida cha msingi jua umeingia kwenye vita na ujipange huwezi jua utapigwa wapi kama ni angani, nchi kavu au majini..
 
Kwa staili iyo ya kula mbususu na kutoa hela hutajenga mkuu
 
Bado wapo naye na apo ndipo pana nipa mashaka kidogo

Maana kunipa chini ana nipa na mla saana

Lakini bado Ana ni ambia niki muonyesha mapenzi zaidi ndipo nita mtoa kwa yule kijana maana yule kijana ni mtu ambaye wako naye kwenye mausiano mpaka sasa ivi sababu amesha julikana kwao

Na kumuacha mpaka atafute sababu ya msingi
Wewe hakutaki mpaka uache mkeo.

Yeye anataka wewe uwepo na awe na kidume kingine.

Zile ndoa za mume zaidi ya mmoja zilizoruhusiwa South Africa na Tanzania ziruhusiwe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom