Kwa aliyeanzisha maada hii, wachangiaji wote katika mada hii na wana JF kwa ujumla.
Ninawashukuru kupita kiasi kwa ukweli na elimu mliyonipa katika hili jambo. Hili ni jambo kubwa na nyeti sana na bila kuficha linaumiza kichwa kwani ni hatari kubwa kwa nchi yetu.
Mwisho napenda kuwaomba tuendelee kuchangia maada hii kwa dhati huku tukizingatia maadili na miiko yetu, kwa maana kwamba hakuna sababu ya kutumia lugha chafu.
Mbarikiwe sana