Waangalie Mitume mengine iliyopita imefanya nini...utapata jibu lakoMaana hii inahitaji maelezo, unaweza kutuambia Mwenyeenzi Mungu anatumiaje Mitume kupeleka ujumbe wake kwa jamii ? Yaani utajuaje kama huu ni ujumbe toka kwa Mwenyeenzi Mungu na huu siyo ?
Achana na maandamano ya Wamarekani, hayana msaada kwako. Akwilina alivyouawa hapa na hao hao jamaa, Wamarekani weusi waliandamana?... Cha kushangaza, wengi wa waandamanaji ni watu weupe; cha kushangaza zaidi, nchi za Kiafrika ambazo ni chimbuko la watu weusi hamna hata nchi moja watu wameandamana kupinga uonevu huo.
Tundu Lisu sio mtume ni mropokaji tu.
Kwanza anatakiwa yeye na dereva wake waje tz watoe maelezo
Huyu jamaa ana Majina Mengi inategemea unataka jina lake kwa lugha ganiAlaf tuheshimiane. YESU siyo Issa.
Hawana uhusiano hata kidogo
Sasa imeanza kufahamu hoja yangu,Akwilina na wengine wengi hapana aliyeandamanaAchana na maandamano ya Wamarekani, hayana msaada kwako. Akwilina alivyouawa hapa na hao hao jamaa, Wamarekani weusi waliandamana?
nakuelewa sana. .lakini hawa wafia dini hawa wezi kukuelewa hata kidogo maaana. wame karilishwa tu kuwa mitume ni wazungu na waarabu. .halafu sasa waaarabu walivyokuwa washenzi wakajiwekea defense mechanism. ili kumlinda so called mtume wao kuwa hatokuja kutokea mtume mwingine badala yake ili kuwafunga watu kifikira wasiweze kuachana. nazaomafundisho ya tamaduniKwani hadithi ya Yesu ilikuwaje?kwani Yesu hakutolewa kafara na MUNGU,Mungu anaweza kufanya chochote
Hivi sasa media hazizungumzi tena kuhusu Corona,watu wanaandamna bila kujali Covid19
Dunia imebadilika George Floyd kabadilisha Dunia kuliko Corona..
George Flyod ni Mtume,.. Mtume mwingine alikuwa Bob Marley yeye alikuja na Style nyengine..
"Burning and looting tonight, burning all pollution tonight,burning all illusion tonight"
Hayo ni maneno ya Bob Marley hayo ndio yanayotokea..
Wamarekani walianzisha maandamano wao kwanza, halafu wakaungwa mkono na wengine. Wewe kwa Akwilina, ulianzisha maandamano kabla ya kuwaona wengine wakikuunga mkono?Sasa imeanza kufahamu hoja yangu,Akwilina na wengine wengi hapana aliyeandamana
Kwanini iwe kwa huyu jamaa???Marekani inawaka Moto,Europe wanaandamana
mbona unapinga sana kuhusu hoja ya floyd kuwa mtume...kwani kwa wenye imani ya kikristo paulo wana mtambua kama nani. .je wajua kabla ya kuongoka. kwake history inaonyesha kuwa alikuwa ni mtu mwenye tabia chafu chafuSijakataaa kuwepo na maandamano ya kupinga racism hasa Us na some europeans countriesmkuu ninachopinga kumfananisha mtu na mtume je enzi za mitume wakweli watu walikuwa wakiandamana kwa kuchoma moto mali za wengine au kuibia watu though maandamano muhimu kudai haki kwa watu wote yeye ni mtu wa porn na mm nimetazama na wewe pia i guess im log out.
Akwilina hakuwa na vigezo vya Utume na ndio maana hamna aliyeandamanaWamarekani walianzisha maandamano wao kwanza, halafu wakaungwa mkono na wengine. Wewe kwa Akwilina, ulianzisha maandamano kabla ya kuwaona wengine wakikuunga mkono?
πππJamaa ni MCHEZA PORN MAARUFU NDO MAANA WATU WAMEMIND
watu wana angalia humanity na sio makando kando yakeJamaa ni MCHEZA PORN MAARUFU NDO MAANA WATU WAMEMIND
Paul aka Saul aliwasaka na kuwauwa wafuasi wa Yesu Kama wanyama,kabla ya kunipa u Saint...mbona unapinga sana kuhusu hoja ya floyd kuwa mtume...kwani kwa wenye imani ya kikristo paulo wana mtambua kama nani. .je wajua kabla ya kuongoka. kwake history inaonyesha kuwa alikuwa ni mtu mwenye tabia chafu chafu
Mtume muhuni anayetumia noti feki.G. Floyd, Mtume wa Mungu aliyetolewa "kafara na Mungu" ili kubadilisha mtazamo wa watu (weupe) kuhusu mtu mweusi nchini Marekani?
Hii haiingii akilini hata kidogo, kama yeye ni kafara kutoka kwa Mungu, je wale askari waliomuua hawana makosa?
George hajawahi kujiita Mtume,ujumbe wake kwa wanadamu ndio uliomfanya awe MtumeMtume muhuni anayetumia noti feki.
Adhabu ya kifo haikuwa stahili Yake hata kidogo
Mkuu upo serious kweli au ni utani. Labda kwa vile Mungu na mungu wanatofautiana.
Hamna mtume ambaye hajitambui kuwa yeye ni mtume.George hajawahi kujiita Mtume,ujumbe wake kwa wanadamu ndio uliomfanya awe Mtume
Yesu kwa baadhi ya watu wanasema kuwa katolewa muhanga na Mungu ili kufuta madhambi ya Binaadabu
Wanasema Yesu kafa kwa madhambi yetu
Kwani hadithi ya Yesu ilikuwaje?kwani Yesu hakutolewa kafara na MUNGU,Mungu anaweza kufanya chochote