Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,535
- 13,837
Vyama vya upinzani Kuna vishoka wengi sana nani Kazi ngumu sana kuwa tambua,CDM ya Lisu,inapaswa kuwa na ujajusi hatari sana kwa manufaa ya chama na umma.
Lissu ameharibu mradi wa mabilioni wa FM.Hatari, nani angeweza kufikiri kuw Mbowe anaweza luwacadui wa CDM?
Ni rahisi sana kupandikiza majasusi ndani ya G55Vyama vya upinzani Kuna vishoka wengi sana nani Kazi ngumu sana kuwa tambua,CDM ya Lisu,inapaswa kuwa na ujajusi hatari sana kwa manufaa ya chama na umma.
Amewachukia kwa kumuondoa kwenye ulaji !! Chadema Ilikuwa saccos yake!Hatari, nani angeweza kufikiri kuw Mbowe anaweza luwacadui wa CDM?
Inawezekana ukajipinga mwenyewe?!G55 wanayapinga mawazo waliyoshiriki kuyapitisha miaka 4 iliyopita!!
Naomba unitafsirie maana ya NO REFORMS NO ELECTION kwa lugha ya kiswahili hapo ndiyo utajua kwanini TUNDU LISSU tunamwita mwanasheria msomi
.ngoja tuone
Yeah