Je, Frolencia Membe ana uhusiano wa karibu na Bernard Membe?

Sikuwahi kusikia jina la Membe nje ya familia ya Bernard Membe.

Kwa hiyo kuna uwezekano Frolencia Membe anatoka katika mikoa ya kusini nchini.

Ninakushukuru kwa kunielimisha.
Hujawahi kuyasikia wapi?! Nenda Lindi kama hujakutana na akina Membe ambao wala hawana uhusiano na Bernard Membe! Kwahiyo inawezekana huyo Florencia nae akwa ni mtu wa Lindi, lakini pia anaweza kuwa ndugu wa Bernard Membe au asiwe na uhusiano wowote na Bernard Membe!
 
Mkuu hilo jina Membe ni jina tu kama vile Shayo au Mrema
Si kwa makabila yote ya TZ. Yapo makabila ambayo ukoo unakuwa na nguvu sana, huwezi kuwa na jina lao kama si wa ukoo huo. Ila majina ambayo ni maneno ya lugha zao huweza kutumiwa na mtu yeyote wa kabila hilo.
 
Kijakazi cha membe umekuja kubweka kumtetea fisadi
Anamtetea vipi fisadi?! Kwanini yeye ana mamlaka ya kumpeleka korokoroni huyo Membe?! Kwanini Rais anayelala na kuamka kisha anaagiza watu waachiwe huru na kurudishwa kazini, kwanini asiagize Membe akamatwe?!

Yaani udhaifu wa serikali yenu unataka kuwatolea povu raia!!!
 
Nacho jua Mimi huyu Dada Anatokea ukerewe sidhani kama ana uhusiano wowote na Bernard Membe. Ni mfanano wa majina tu
 
Wenzako wanalipwa na membe kuja kubweka humu
We Endelea kubwabwaja bure
Anamtetea vipi fisadi?! Kwanini yeye ana mamlaka ya kumpeleka korokoroni huyo Membe?! Kwanini Rais anayelala na kuamka kisha anaagiza watu waachiwe huru na kurudishwa kazini, kwanini asiagize Membe akamatwe?!

Yaani udhaifu wa serikali yenu unataka kuwatolea povu raia!!!
 
Frolencia Membe ni Mkurugenzi wa kampuni ya Zenon Oil Gas Limited na Mke wa Robert Kisena ambaye ni Mkurugenzi wa mradi wa Mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam.

Frolencia Membe na Robert Kisena wamekuwa gerezani kutoka mwezi Februari 2019 wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi namba 38 ya 2019 yenye mashitaka 19 likiwamo la kuisababishia Udart hasara ya Sh2.4 bilioni. Washitakiwa wengine ni Kulwa Kisena, Charles Newe na Mchina Chen Shi.

WanaJamiiforums ninapenda kujua kama huyu Frolencia Membe ana uhusiano wa karibu na Bernard Membe au ni kufanana kwa ubini.

Kwa wasiojua, Benard Membe aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje kutoka mwaka 2007 mpaka mwaka 2015.

Ninajua hakuna jambo linaloharibika hapa Jamiiforums hasa ikichukuliwa kuwa Jamiiforums is where People dare to talk openly!

maxresdefault.jpg

Picha ya Frolencia Membe.
Jina ambalo halina mizizi yeyote tanzania hii ni Magufuli tu... Hayo mengine yote ni majina tu ..ila tungesikia Magufuli lingine ndio tungeshangaaa hiiiiiiiiiii
 
Frolencia Membe ni Mkurugenzi wa kampuni ya Zenon Oil Gas Limited na Mke wa Robert Kisena ambaye ni Mkurugenzi wa mradi wa Mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam.

Frolencia Membe na Robert Kisena wamekuwa gerezani kutoka mwezi Februari 2019 wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi namba 38 ya 2019 yenye mashitaka 19 likiwamo la kuisababishia Udart hasara ya Sh2.4 bilioni. Washitakiwa wengine ni Kulwa Kisena, Charles Newe na Mchina Chen Shi.

WanaJamiiforums ninapenda kujua kama huyu Frolencia Membe ana uhusiano wa karibu na Bernard Membe au ni kufanana kwa ubini.

Kwa wasiojua, Benard Membe aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje kutoka mwaka 2007 mpaka mwaka 2015.

Ninajua hakuna jambo linaloharibika hapa Jamiiforums hasa ikichukuliwa kuwa Jamiiforums is where People dare to talk openly!

maxresdefault.jpg

Picha ya Frolencia Membe.
niguse ninuke!
 
Na ukishafahamu kama ni ndugu au lah?

Au umetumwa na Musiba?
 
Back
Top Bottom