Je, Frolencia Membe ana uhusiano wa karibu na Bernard Membe?

Mimi mwenyewe ni mwajiri nipo shambani kwangu nawaajiri vijana kama nyinyi mnajipatia angalau ela ya kununulia sabuni muweze kufulia makaptula yenu.
Karibu sana hapa kakonko
Tumekusikia kijakazi cha membe haya nenda masaki kachukue ujira
 
Kakonko Ndio wapi? Taja mkoa usidhani najua kila pahala

Unamtetea fisadi membe mwambie pesa za gadafi tunazihitaji
Mimi mwenyewe ni mwajiri nipo shambani kwangu nawaajiri vijana kama nyinyi mnajipatia angalau ela ya kununulia sabuni muweze kufulia makaptula yenu.
Karibu sana hapa kakonko
 
Mkuu;
Jina la Membe nadhani ni ''unique'' ukilinganisha na Shayo au Mrema.
"Unadhani" kwa maana huna uhakika kuhusu jina la Membe. Aliyesama jina hili ni la ukoo kama ilivyo majina ya Shayo na Mrema yuko sahihi.

Kuna uzi wa wasifu wa BM humu JF na ukiusoma utaona kuwa ubini wa BM si MEMBE bali ni NTACHILE. Imeelezwa kuwa kwakuwa jina la Membe ni la ukoo wa mama yake na yeye analitumia kwasababu wamwera hutumia majina ya ukoo ya mama (matrilineal).
 
Mnahangaika kweli kuwahusianisha hawa wawili. Si tumuulize Bollen Ngeti? Si verified user humu na mbeba mikoba wa Bernard Membe? Bollen Ngetti tupe majibu ingawa huyu mama mi namjua enzi zile anakaa Malampaka. Anagonga Kisukuma kama mzawa wa Igongwalyampeshi!
 
Back
Top Bottom