Najiuliza pindi CC ikimuengua je Edward Lowassa ananjia mbadala?
Je ataendelea kukitumikia chama?
Najiuliza pindi CC ikimuengua, Je Edward Lowassa ananjia mbadala?
Je ataendelea kukitumikia chama?
Our presdent is Lowassa iwe kutoka ndani ya ccm na waspomptsha team lowassa wote kura zetu ni kwa Dr.Silahakinachonifurahisha tu ni kwamba kwa takribani miezi mitatu iliyopita watu mlikuwa mnakuja na threads za kumtia moyo na kutuaminisha watanzania kuwa lowassa ndiyo atakuwa mgombea wa ccm na wengi wetu tulitukanwa sana na hata hivyo bado tunatukanwa mno juu yake na sasa naona tangia majuzi upepo wa humu jf kumhusu lowassa umeanza kubadilika na sasa wengi wenu nawaita " wanafiki " wake mnaanza kuja na threads za kusema " endapo " lowassa akikatwa itakuwaje na inaonyesha dhahiri ni jinsi gani mlivyokwisha kubali matokeo kuwa " hapiti " na " hatopitishwa " na ccm hivyo mnaomba " po " kiaina huku mkinywea sasa. sasa msaidieni pia kufikiria ni jinsi gani atazirudisha pesa alizopewa na yule tajiri wa " south africa " jina ( kapuni ) na za hawa wazawa ac, nk, ra na at. chezea ccm wewe! na kuanzia alhamisi anzeni kujiandaa kisaikolojia na hakika siku ya jumapili nchi " itatikisika " kwani watanzania wote huyu mtu atakayepitishwa mlikuwa hamumtegemei huku wengine mkiwa mmeanza kumbeza, kumdhihaki na kumdharau ila " usiyempenda kaja " karibu sana mgombea urais wa ccm na rais ujae wa ccm mheshimiwa ................hakuna cha lowassa wala membe wote " pigwa chini " .
Our presdent is Lowassa iwe kutoka ndani ya ccm na waspomptsha team lowassa wote kura zetu ni kwa Dr.Silaha
endelea tu " kuota " wakati tulio karibu na " jiko " tumeshaambiwa kila kitu na hadi kula kiapo rasmi jana na tayari sasa tumeshamjua mgombea wa ccm atakayeteuliwa ila kwasababu una kiherehere sasa sikuambii mpango mzima japo nilitaka leo nianze kuwapeni " tips " ndogo ndogo na mpaka jioni watanzania wote na wana jf mngeshamjua ila umeshanitibua na sasa sikuambii na endelea kukaa hivyo hivyo na " upoyoyo " wako. huyo uliyemtaja akipitishwa na ccm " nakunya wazi pale mnazi mmoja sehemu ya wazi " huku watanzania wote mkinikodolea mimacho yenu huku mikono yenu ikiwa puani kuziba pua kwa " kitu kimba " nitakachokiachia pale!
Kula ushibe vzuri ili uje unye
subiri nianze ku load " viporo " vyangu ili muione shughuli!
Huu upuuzi peleka Facebook kwa wenzako unajua maana ya kiapo wewe aliyekula kiapo anasemaga amekula kiapo? Kwa taarfa yako sasa mradi wenu umekwama. ..turufu ya kura za ccm bara ni lowasa. ..plan ni either aptshwe kugombea urais au mgombea mwenzaendelea tu " kuota " wakati tulio karibu na " jiko " tumeshaambiwa kila kitu na hadi kula kiapo rasmi jana na tayari sasa tumeshamjua mgombea wa ccm atakayeteuliwa ila kwasababu una kiherehere sasa sikuambii mpango mzima japo nilitaka leo nianze kuwapeni " tips " ndogo ndogo na mpaka jioni watanzania wote na wana jf mngeshamjua ila umeshanitibua na sasa sikuambii na endelea kukaa hivyo hivyo na " upoyoyo " wako. huyo uliyemtaja akipitishwa na ccm " nakunya wazi pale mnazi mmoja sehemu ya wazi " huku watanzania wote mkinikodolea mimacho yenu huku mikono yenu ikiwa puani kuziba pua kwa " kitu kimba " nitakachokiachia pale!
Huu upuuzi peleka Facebook kwa wenzako unajua maana ya kiapo wewe aliyekula kiapo anasemaga amekula kiapo? Kwa taarfa yako sasa mradi wenu umekwama. ..turufu ya kura za ccm bara ni lowasa. ..plan ni either aptshwe kugombea urais au mgombea mwenza