Je, Edward Lowassa ana njia mbadala?

Je, Edward Lowassa ana njia mbadala?

Safari hii, CCM siyo 'predictable' tena...! Mpaka filimbi ya mwisho ndipo tutapata ukweli nani anawakilisha chama.
 
njia mbadala mzee wa watu apumzike tu sasa, kashahudumu mpaka uwaziri mkuu ukamshindaa then inatoshaa akapumzike mzee Lowasa aache kuhangaika, na uzee ule kutaka kuanza kupiga madili tena haifai
 
hii ni karata ya mwisho kwa ccm wasipompitisha mtu maarufu wamekwisha na mtu maarufu kwa wakati huu ni Lowasa peke yake huyo ndo anaweza kuhimili nguvu ya ukawa vinginevyo wamekwisha.

Hatutafuti mtu maarufu kama unampenda sana nenda kanywe nae chai upige nae na picha Jk Nyerere
 
Back
Top Bottom