Je DPP anataaka kutumia AI kwenye kesi ya TUNDU LISSU?

Je DPP anataaka kutumia AI kwenye kesi ya TUNDU LISSU?

Zed

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2009
Posts
546
Reaction score
521
Katika dunia ya AI Artficial Intelligence(Akili Umbe) Mambo mengi yanafanywa na AI ikiwa hata majibizano.

Kuficha sura, sauti na utambulisho wa mashahidi katika kesi zinazomkabili Lissu kuna hatari ya kutumia artificial intelligence au mamluki wengine.

Korti ya karne AI ikatae kuficha utambulisho wamashahidi kama upande waserikali unavyoomba
 
Ushahidi ukifichwa kesi itasikilizwaje jamani mbona sijawahi sikia kitu kama hiki
 
Back
Top Bottom