Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
Don Nalimison a.k.a deogratious kisandu, hebu nikumbushe ile story yako na yule rafiki yako, ambaye ulipolala ukakuta anakupumulia kisogoni, lakini ukashtuka Kama ninja katikati ya mchezo kabla kobra hajatema sumu
Mkuu wahi Milembe, hujachelewa
...mkuu-ulivyofungwa umeshapoteza sifa za kugombea urais.
Pole
Kumbe mkuu bora wangekuacha tu huko lupango ushike adabu! Huna msaada kabisa hapa duniani!
Mkuu karibu sana jukwani
katiba yetu iko wazi mkuu ukienda jela ndo basi tena.Thamini yako. Soma katiba vizuri kipengele Cha URAIS.
Jela!Mkuu ulipotelea wapi