Uchaguzi 2020 Je, Don Nalimison atagombea Urais mwaka huu 2020? Turejee harakati zake

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
9,308
2,000
Mtemi Usinisahau kwenye ile kamati yako ya kampeni. Wewe ni Rais wetu ajaye!! Bora tukupigie kura wewe ila siyo magufuli.

Ila chama kitakacho kudhamini ili upate hiyo nafasi ya kugombea, bado hujatuambia wapambe wako!!🙄
 
Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
23,106
2,000
Mtemi Usinisahau kwenye ile kamati yako ya kampeni. Wewe ni Rais wetu ajaye!! Bora tukupigie kura wewe ila siyo magufuli.

Ila chama kitakacho kudhamini ili upate hiyo nafasi ya kugombea, bado hujatuambia wapambe wako!!🙄
Tunaenda nae kulitia ADA TADEA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom