Je, DC Petro Magoti kitamlamba?

Je, DC Petro Magoti kitamlamba?

Kuna series Moja siijui movie Kuna character anafanana sana na muheshimiwa DC ,hiyo series imefanyika South Africa.Basi wote Kwa pamoja tuseme Ntombazana
Asante
 
Msela nondo kitendo cha kwenda site kungenga na wananchi hua ananifurahisha mengine yanajamba tu ofcn mudawote
 
Anadai atskupigeni style inaitwa kosovo🤣
Mungu fundi sana fikiria haka kadubwana kako vile lakini kanaleta taharuki sasa kangekuwa kazima kale si kangekuwa kanapiga mtama kila mtu anayekuja mbele yake.
 
View attachment 3613982
Naona moshi Mweusi huko pwani ya Tanzania.

Nchi ipo kuaminisha Dunia uongo kwamba watu wanaishii kwa upendo na amani, halafu anatokea DC anatia kitumbua Mchanga.

Na hivi haziivi na uzao wa Kizimkazi sio kama safari hii atavuka salama

Pia soma Video: Waliojitambulisha kuwa ni Askari wamvamia Mwananchi usiku wa manane
Wakuu salama

Watanganyika tuache siasa za kwenye mitandao, ukweli usemwe ili raia waelewe.

Sijaona kosa alilolifanya DC na kama kitamlamba kwa zile bongo movie za wana king'azi basi tutakuwa na shida Kamati huska.

Hakuna raia aliyevamiwa na hao watu wanaoitwa askari. Lile eneo lote wanaloishi raia waliokwenda bongo movie lina mgogoro wa Ardhi wa miaka mingi.

Mwenye eneo lile kesi yake alishinda mahakamani siku nyingi. Ni DC huyu huyu aliyesimama na raia nyumba zao zivunjwe wapewe nafasi ya kumlipa fidia mshinda tuzo.

Changamoto iko wapi? Changamoto ikajitokeza kwamba lile eneo la king'azi linapakana na wilaya ya ubungo. Hivyo kuna watu ambao wanajihisi wako Wilaya ya Ubungo na siyo Kisarawe.

Kwa mantiki hiyo raia wakaona huu ndiyo mwanya wa kupona rungu la kuvunjiwa nyumba zao. Wakaja na hoja ya Kwamba eneo lile lipo Ubungo na siyo Kisarawe, kwa hoja yao hiyo ni kwamba mshinda tuzo eneo lake liko Kisarawe na wao wako Ubungo.

DC akawatuliza kwa kufwata GN iliyosainiwa kabla ya Uchaguzi. Walivyo ona wamekwama Wakaja na hiyo Kaole na kupost kwenye mitandao kwa kutafuta huruma za Watanganyika na kuzua taharuki isiyokuwepo.

DC siyo kwamba namkingia kifua, Hapana! Kwenye kweli tuseme kweli. Kawatetea kwa siku nyingi sana ona walivyomgeuka na kumchafua.

Mh, Magoti ni DC ambaye unaweza kwenda kumwona kwa wakati wowote, anakusikiliza na matatizo yako anawapangia wasaidizi wake kwa wakati huo huo!
 
Umetumwa na huyo muuaji Vitto Ferrarri kumtetea humu siyo?
 
Ndio aseme atapiga kwa mtindo/style ya kosovo?
 
Back
Top Bottom