petro magoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania DC Petro Magoti: Nikifa atakaechukua simu yangu asimtoe Rais Samia kwenye Wallpaper

    "Ninaweza nikasema hapa, wakasema labda anasema hivyo kwa sababu amemteua DC. Mimi hata ukija chumbani kwangu nina bed side mkono wa kulia na kushoto kuna picha ya mheshimiwa Rais. - Nilimwambia mke wangu hata nikifa leo atakayechukua simu yangu, asimtoe Rais kwenye wallpaper aiache hivyo hivyo...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, DC Petro Magoti kitamlamba?

    Naona moshi Mweusi huko pwani ya Tanzania. Nchi ipo kuaminisha Dunia uongo kwamba watu wanaishii kwa upendo na amani, halafu anatokea DC anatia kitumbua Mchanga. Na hivi haziivi na uzao wa Kizimkazi sio kama safari hii atavuka salama Pia soma Video: Waliojitambulisha kuwa ni Askari wamvamia...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Petro Magoti: Vikosi vimejipanga hakuna hata Mbu kuandamana Julai 7 (SabaSaba)

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti amesema vikosi vya Ulinzi na Usalama wilayani humo vimejipanga kudhibiti maandamano yanayotajwa kuratibiwa kufanyika tarehe 7 mwezi Julai (SABASABA). DC Magoti amesema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge katika baraza maalum la Madiwani...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania DC Petro Magoti: Tumekamata gari kutoka Mbezi lenye watu 50 waliokuwa wanakuja Kisarawe kununua ardhi kwa laki 2

    Wakuu, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti kasema kuwa amekamata watu 50 ambao wanaenda kununua viwanja Kisarawe kwa sababu hao watu wanafanya hayo kinyume cha sheria Msikilizeni hapo
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Malalamiko ya matukio ya uhalifu Kisarawe, DC Petro Magoti asema “Kila Mtu alinde mwanaye ambaye ni kibaka, asije kulaumu”

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani, Petro Magoti ametoa kauli kadhaa kuhusu matukio ya uhalifu kama yalivyoripotiwa na Wananchi mbalimbali kupitia JamiiForums.com akisema kuwa “Mzee wa Show Show nipo hapa, nimelichukua na kila Mtu alinde Mwanaye ambaye ni Kibaka, asije kulaumu kuanzia sasa”...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC Magoti: Kama unataka kuzeeka ukiwa Kiwete andamana, ntawapiga mpaka Sura iwe kama Nyama Choma ya Porini

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, ametoa onyo kali kupitia comment yake Instagram dhidi ya mwananchi aliyeahidi kuandamana wilayani humo. Kupitia comment yake Instagramo kwenye post ya operesheni ya kuteketeza mashamba ya bangi katika maeneo ya mpakani mwa Kisarawe, Mafizi, Dololo na...
  7. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Petro Magoti atatua na kuumaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 9 Kiluvya

    Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Petro Magoti atatua na kuumaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 9 Kiluvya.
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Petro Magoti askiliza na kutatua kero za wananchi wake wa Wilaya ya Kisarawe

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh Petro Magoti akiskiliza na kutatua kero za wananchi wake
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DC Magoti, 'achefukwa' wanaohujumu misitu na kumchongea kwa Rais

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, ametangaza vita na 'vigogo' ambao wameifanya Hifadhi za Misitu ya Kazimzumbwi iliyopo katika Hifahi ya Pugu pamoja na Kisarawe kwa ajili ya masilahi yao bianafsi. Amesema baadhi ya viongozi wamegeuza hifadhi ya Misitu Asilia ya Pugu Kazimzumbwi na...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti achafukwa, asema hadhi ya Heche ni kukamatwa na mgambo sio polisi, aahidi kumpelekea moto akigusa Kisarawe

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, kijana mahiri na jasiri Petro Magoti amefunguka mazima. Msikilize.
  11. KUNGUNIMSOMI

    JamiiForums Tanzania Pongezi, Petro Magoti kwa kutatua migogoro ya ardhi Kisarawe

    Katika kuendelea na juhudi za kutatua migogoro ya ardhi, Mkuu wa Wilaya, Petro Magoti, amekuwa akifanya mikutano ya mara kwa mara na jamii, ambapo anawapa fursa wananchi kutoa maoni yao kuhusu masuala ya ardhi. Mikutano hii inasaidia kujenga uelewa wa pamoja na kuimarisha ushirikiano kati ya...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Petro Magoti: Kama mbunge alikuwa hafanyi ziara kusikiliza kero za wananchi, msimchague

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa wito kwa wananchi kutowachagua wabunge ambao hawakuwa wakifanya ziara katika majimbo yao na sasa wameanza kusogeasogea kipindi hiki cha uchaguzi. Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mhamasishaji Michael Msechu na DC Petro Magoti wakutana kufanya ziara ili kuhamasisha vijana kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura

    Balozi wa mazingira na muhamasishaji, Ndugu Michael Msechu, amekutana na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, ambapo wamejadili mpango wa kufanya ziara ya kuhamasisha vijana na wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila, Umeshindwa kujifunza kwa Paul Makonda na Petro Magoti?

    Hivi ni wewe ULIKUWA Kagera wakati wa tetemeko la ardhi wakati ule...naomba nikumbushwe, sikumbuki kama tayari ULIKUWA siasani. Ukaenda Kagera dege la precision likaanguka pale kwenye maji, palikuwa na uchelewaji mkubwa wa kuokoa majeruhi na Vifo (ndipo walipozaliwa nyota wapya kina Majaliwa)...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Magoti akabidhi kipaza sauti kitangaze mikutano yake

    Wakuu, Vitu vingine mpaka vinachekesha, ni zaidi ya vituko!:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: ===== Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
  16. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania LGE2024 DC Petro Magoti: Waliokosa nafasi za kuiwakilisha CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa acheni nongwa na fitina

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ambaye pia ni Kamisaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewasihi wanachama wa CCM waliokosa uteuzi kugombea nafasi za uongozi wa Serikali za Mitaa katika uchaguzi wa Novemba 27, 2024, kuacha 'makandokando' na fitina badala yake waungane pamoja kuwatetea na...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kisarawe: Mwamposa, Jaffo, LT.COL Kombo, waungana na DC Petro Magoti Siku ya Wazee Duniani

    SIKU YA WAZEE DUNIANI 1 OCTOBER 2024 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti jana aliandaa Chakula cha Mchana na wazee zaidi ya 300 ktk Ikulu ndogo ya Kisarawe kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na katika Hafla hiyo Mgeni Rasmi alikuwa Dkt. Suleiman...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama Petro Magoti Mkuu wa Wilaya Kisarawe, Jaffo asigombee, Ubunge achukue Kingwendu....wana Kisarawe watakuwa wanapasuka mbavu kila siku

    Kama hii line up ikitiki, nadhani Kisarawe itatosha kutengeneza content wanazopenda watanzania, ila mpaka karata za kisiasa ziende sawa, wote tuseme ameen. Sasa ole wenu watumishi msiojua kubana cheko zenu vikaoni
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kongole Mkuu wa Wilaya Petro Magoti

    Najivunia sana kijana Petro Magoti aliyeteuliwa siku za karibuni kuwa mkuu wa wilaya ya Kisarawe. Natamani wakuu wote wa wilaya wangeiga namna na jinsi anavyotenda na kuwajibika katika nafasi yake. Kwanza anasimamia usalama wa watu wake, pili anafatilia miradi katika wilaya yake (anaingia field...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC wa Kisarawe, Petro Magoti achangia Mifuko 300 ya Saruji Ujenzi wa bweli la Msikiti, ahimiza na wengine wachangie ili Watoto Warudi mapema kusoma

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa mifuko ya saruji 300 akianza kutanguliza mifuko 150 kwa ajili ya ujenzi wa bweni (hosteli) litakalotumika kwa ajili ya Watoto wanaopata mafunzo ya Dini ya Kiislamu Wilayani hapo ikiwa ni siku mbili tangu alipotoa maelekezo ya kusitishwa kulaza...
Back
Top Bottom