Je, DC Petro Magoti kitamlamba?

Naona moshi Mweusi huko pwani ya Tanzania.

Nchi ipo kuaminisha Dunia uongo kwamba watu wanaishii kwa upendo na amani, halafu anatokea DC anatia kitumbua Mchanga.

Na hivi haziivi na uzao wa Kizimkazi sio kama safari hii atavuka salama
Amekomaa kwenye nyanja za ukatili.Ajumuishwe kwenye kikosi kharamu cha sheikh Mwaipopo ili waue raia vizuri.
 
 
Mzee Mangula hana hamu na haka kadubwana almanusra kamtoe roho kwa kumwekea sumu kwenye maji ya kunywa.
 
Haziivi na kizimkazi?? Yeye na kizimkazi dam dam mpaka akamuozesha binti Kwa mahari liyotoka kizimkazi
 
Kuna kitabu cha zamani sana nilichowahi kukisoma nikiwa darasa la nne. Ndani ya kitabu hicho kuna kisa cha mbilikimo mwenye kibiongo...... Alikuwa kiumbe mkatili sana. Hivi Fire Fox bado yumo humu kiringeni? 😳
 
mm nilijua kuna siku atateleza ,muhimu nikwamba tujifunze language stylistic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…