Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,314
- 4,032
Chris Rock alipigwa kofi na Will Smith huku dunia nzima ikitizama aibu hio.
Ila kabla ya hili tukio Chris alifanya stand up on "Netflix is a joke". Kati ya moja ya jokes alizotoa ni ile ya kusema kwamba anashangaa eti kwa nini watu wanasema eti Mungu hafanyi makosa. Akasema kuwa inakuwaje Mungu alie perfect tena aweze kupumzika siku ya saba.
Aliendelea kwa kutoa mfano kuwa kama mtu unafanya kazi na inaenda vizuri hauwezi pata fikra yoyote ya kupumzika ila utaendelea hivyo hivyo hadi pale itakapotokea ghafla umeanza kuvurunda ndio utapata fikra ya kuamua kupumzika ili usije kuharibu zaidi kazi yako.
Kwa maelezo yake alimaanisha kuwa Mungu katika uumbaji wake alianza vizuri hadi pale alivyovurunda ndio akaamua kupumzika siku ya saba. Kwa maelezo yake ndio maana kuna vitu tunavyoviona vibaya na vingine vizuri.
TAZAMA VIDEO ALIYOKUWA AKIYASEMA:
View: https://youtu.be/5bbKnj1-mR0?si=IameMGFp3H612Pdq