Huyo mwenye plastic anakosa hata kufikiri amkalishe nani chiniHawa watatulia tu
Maana hali kwao nitete
Walizoea juice za Jk

Makosa ya kiongozi na mwanachama wake yanafanana! Si ajabu kusikia hata kua resources za kuendesha shughuli zote mbili zinatoka sehemu moja!Kwa mfano Dennis Wilson kamtaja wapi Rais? Kamtaja JPM. Sasa yaweza kuwa "Jeuri ya Pombe-Majitaka" au "Jeuri ya Pombe-Mateke) au kwa hitimisho baya kabisa "Jitu Punguani Mjini" .Sasa lina uhusiano gani na Rais kisheria?
Lissu ni Wakili na katiba ya Chadema inamtaka kila mwanachama kukataa uonevu na kupigania haki
Sasa Lissu ni Mwanasheria mkuu lazima aoneshe umaahiri kama alivyofanya mahakamani leo na Mahakama kukubali kuwa JPM aweza kuwa "Magufuli".Kesi ikatupiliwa sio mbali tu bali kuzimu
Kwanza uelewe kua Tundulisu kazi yake ni wakili hata wewe unaweza kumtumia kwenye Kesi yako mladi makubariano tu (pesa) kwenye kazi yake haihusiani na CHADEMA hiyo moja,na pili je wewe unauhakika gani kama yule jamaa Wilson alimkashifu Rais?nipe kifupi cha majina Magufuli acha unazi weweeMwanasheria Mkuu wa CHADEMA, amekua mmoja wa mawakiliwa utetezi katika kesi inayomkabili mwanachama wake bwn Wilson ya kumkashifu Mh. Rais.
Kitendo cha ushiriki wa kiongozi wa juu kabisa wa chadema ambaye naye anashtakiwa kwa kosa kama hilo, ni kiashiria tosha kua uongozi wa CHADEMA umebariki uwepo wake katika kesi hiyo na vile vile kubariki kitendo chenyewe.
Kama ni kweli CHADEMA imebariki ushiriki wa lisu katika shauri hilo, napata mashaka na aina ya utawala watakayokua mayo watu hawa kama ikitokea wakashika dola.
Nashindwa kupata picha pindi watakachoongoza CHADEMA wataruhusu matusi na kashfa kwa Rais wao.
Nakosa maneno ya kuelezea jambo hili, kwani haliingii akilini kabisa kwa chama kinachotaka kushika dola, kubariki vitendo vya kihuni kama hivyo!
Ama CHADEMA ijitenge na vitendo hivyo, ama ituambie ipo began kwa bega na wahalifu!
[emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji87]Wilson hakumkashifu mtukufu rais Bali alimkashifu jpm ambaye ni Magufuli
[emoji1] [emoji2] [emoji3]Kwa mfano Dennis Wilson kamtaja wapi Rais? Kamtaja JPM. Sasa yaweza kuwa "Jeuri ya Pombe-Majitaka" au "Jeuri ya Pombe-Mateke) au kwa hitimisho baya kabisa "Jitu Punguani Mjini" .Sasa lina uhusiano gani na Rais kisheria?
Lissu ni Wakili na katiba ya Chadema inamtaka kila mwanachama kukataa uonevu na kupigania haki
Sasa Lissu ni Mwanasheria mkuu lazima aoneshe umaahiri kama alivyofanya mahakamani leo na Mahakama kukubali kuwa JPM aweza kuwa "Magufuli".Kesi ikatupiliwa sio mbali tu bali kuzimu
Oyaa unamtisha nani we kinyangalika!!?? Huna hoja unategemea kupakatwa na mbeleko ya dola!! SHHHHHAMEKMA UNAJIAMNI WEKA VERIFIED ID.......
Huwezi kutetea ushoga Mahakamani kisa wewe ni wakili wa kujitegemea bila kutiliwa shaka kuwa na wewe ni shoga...tusitetee ujinga.
Mkuu, thinking process yako ikufikirishe kutofautisha njaa uliyo nayo na haki. Njaa uliyo nayo inaweza kukufanya ukatema pumba zote hizi. Haki iko hivi, leo hii wewe ni jambazi, umemuua Dada yako. Kesi ipo mahakamani ya mauaji. Serikali itakupa wakili bila hata kutoa senti tano akutetee ili Upate haki yako. Sasa jiulize, serikali ndio ilikutuma ukamuue Dada yako?
Wewe mwanangu mjingamjinga ******** kama unajua sheria na una uhakika JPM ndo jina la Rais si uende mahakamani! Anyway, hata wajinga wenzio nasikia wameondoka naye tena! Lissu amesema aliyetukanwa ni Magufuli!
Duh! Nyie ndio mnawaharibia ukawa. Kwa staili hii ya uandishi, ni ngumu sana kupewa uongozi wa nchi na watu wanaojielewaKwa mfano Dennis Wilson kamtaja wapi Rais? Kamtaja JPM. Sasa yaweza kuwa "Jeuri ya Pombe-Majitaka" au "Jeuri ya Pombe-Mateke) au kwa hitimisho baya kabisa "Jitu Punguani Mjini" .Sasa lina uhusiano gani na Rais kisheria?
Lissu ni Wakili na katiba ya Chadema inamtaka kila mwanachama kukataa uonevu na kupigania haki
Sasa Lissu ni Mwanasheria mkuu lazima aoneshe umaahiri kama alivyofanya mahakamani leo na Mahakama kukubali kuwa JPM aweza kuwa "Magufuli".Kesi ikatupiliwa sio mbali tu bali kuzimu
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, amekua mmoja wa mawakiliwa utetezi katika kesi inayomkabili mwanachama wake bwn Wilson ya kumkashifu Mh. Rais.
Kitendo cha ushiriki wa kiongozi wa juu kabisa wa chadema ambaye naye anashtakiwa kwa kosa kama hilo, ni kiashiria tosha kua uongozi wa CHADEMA umebariki uwepo wake katika kesi hiyo na vile vile kubariki kitendo chenyewe.
Kama ni kweli CHADEMA imebariki ushiriki wa lisu katika shauri hilo, napata mashaka na aina ya utawala watakayokua mayo watu hawa kama ikitokea wakashika dola.
Nashindwa kupata picha pindi watakachoongoza CHADEMA wataruhusu matusi na kashfa kwa Rais wao.
Nakosa maneno ya kuelezea jambo hili, kwani haliingii akilini kabisa kwa chama kinachotaka kushika dola, kubariki vitendo vya kihuni kama hivyo!
Ama CHADEMA ijitenge na vitendo hivyo, ama ituambie ipo began kwa bega na wahalifu!
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, amekua mmoja wa mawakiliwa utetezi katika kesi inayomkabili mwanachama wake bwn Wilson ya kumkashifu Mh. Rais.
Kitendo cha ushiriki wa kiongozi wa juu kabisa wa chadema ambaye naye anashtakiwa kwa kosa kama hilo, ni kiashiria tosha kua uongozi wa CHADEMA umebariki uwepo wake katika kesi hiyo na vile vile kubariki kitendo chenyewe.
Kama ni kweli CHADEMA imebariki ushiriki wa lisu katika shauri hilo, napata mashaka na aina ya utawala watakayokua mayo watu hawa kama ikitokea wakashika dola.
Nashindwa kupata picha pindi watakachoongoza CHADEMA wataruhusu matusi na kashfa kwa Rais wao.
Nakosa maneno ya kuelezea jambo hili, kwani haliingii akilini kabisa kwa chama kinachotaka kushika dola, kubariki vitendo vya kihuni kama hivyo!
Ama CHADEMA ijitenge na vitendo hivyo, ama ituambie ipo began kwa bega na wahalifu!
Anaingiza siku mkuu MuacheStroke hulali unaiwazia CDM tu.
Lumumba mnawamiss sana ?!