Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,318
Tuwaombee wenzetu wafanikisheMonduli hawana pa kutokea .
Tuwaombee wenzetu wafanikisheMonduli hawana pa kutokea .
Mkuu mara hii umeshaanza kumpiga madongo Makonda ! 😂Mungu hapendi wakwepa kodi!
Mungu hapendi wauza ngada!
Kwenu ni Tabora ? uko mtaa mmoja na Lipumba ?Ni mpango wa SHETANI unao pingwa na Mungu.
Kwetu ni kule yanatokea makinikia( Kahama)Kwenu ni Tabora ? uko mtaa mmoja na Lipumba ?
Au kama ile mikutano ya kugawa hela hovyo eti nimeguswa kumbe ni kuvutia watu kubet kama wanaweza kupata kamgawo?Nani alikudanganya kuwa shetani anashindana na Mungu?
Hata wewe ukivua nguo utaona watu wanajazana!
Hoja sio watu kujazana, hoja ni sababu ya kujazana.
Weka kiingilio ili uone kama watajazana kusikiliza hotuba pekee!
Hiyo ni sehemu ya wananchi kupoteza muda wao kwa kiingilio ambacho ni bure.
Ubarikiwe sana mkuuNinachojua ni kwamba Chadema huwa wanashinda kwa haki chaguzi zote lkn mashetani ya Lumumba hayataki kuelewa ukweli!
tuliambiwa kwamba mmeachiwa magwangwala , eti ni kweli ?Kwetu ni kule yanatokea makinikia( Kahama)
Kanda yetu yote tunatembea juu ya utajiri, hizo ni ngonjera za tetezi la mabepari TLtuliambiwa kwamba mmeachiwa magwangwala , eti ni kweli ?
Bado Magufuli na wafuasi wake wamekaza shingo ngumu, zitakatika tu.View attachment 867523
View attachment 867524
View attachment 867525
View attachment 867526
View attachment 867527
View attachment 867529
Hili haiwezekani likawa ni jambo la kawaida tu , ni lazima kuna kitu .


Wameamua kuweka mpira kwapani hata kabla mechi haijaanza.Monduli hawana pa kutokea .
Magufuli anajua kwamba bila polisi ni mwepesi kuliko pamba .Hii inaitwa "vox populi, vox Dei"
tuliisha izungumza sana humu, na haikusaidia, itakuwa leo?.
msemo huu wa lugha ya Kilatini kuwa "Vox Populi is Vox Dei"
ukimaanisha "Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu!", au "Kauli ya wengi ni kauli ya Mungu", ikimaanisha "Chaguo la wengi ndilo Chaguo la Mungu!"
![]()
![]()
![]()
ingekuwa determinant ya ushindi, ni makundi ya watu, kesho by saa 4:00 asubuhi, watu wangeisha maliza kazi!. But it's not the votes cast that count, but the counting!.
The victory is not by voting but by vetting!.
P.
@jingalao hapo hapo lumumba tunaomba mbadilike ili wananchi wenye nchi ndio wanazidi kutambua kuwa ccm sio kama ile ya zamaniMungu hapendi wakwepa kodi!
Mungu hapendi wauza ngada!
Hivi tupe repot huko monduli kunaendajeUsihangaike na huyo mtu tunamfahamu vizuri sana .
Hivi demokrasia ni pale upinzani wakishinda ila wakishindwa hakuna demokrasia dunia simama nishuke watanzania hawaelewekiLaiti kama kungekua na demokrasia......
Inawezekana huo ndo uelewa wako juu ya maana ya neno demokrasia, uko sawa pia.Hivi demokrasia ni pale upinzani wakishinda ila wakishindwa hakuna demokrasia dunia simama nishuke watanzania hawaeleweki
Hahahahahaha wewe mbona umekuja juu samahani mimi siyo mwenyekiti wa tume ya uchaguziInawezekana huo ndo uelewa wako juu ya maana ya neno demokrasia, uko sawa pia.