Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,341
- 289,368
Hili haiwezekani likawa ni jambo la kawaida tu , ni lazima kuna kitu .
Kumbuka kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika jambo lolote , haya mambo yanashangaza sana mkuu , Katika awamu ambayo ukifanya siasa unatekwa au kuuawa lakini bado watu wanajazana namna hii maana yake nini ?Kila kitu ni mpango wa Mungu labda kama hujui filosofia ya imani za dini.
Hata shetani ni mpango wa Mungu.
Hata shetani ana haki sawa na wengine kwa Mungu ndio maana yupo kwa ridhaa ya Mungu.
Kama shetani anaweza kuipinga CHADEMA na isifanikiwe basi huo ni uamuzi wa Mungu!
Tanua fikra zako ili uchambue masuala kwa uchambuzi mpana!
Umekwama mkuu ko mabaya yote mwanzilishi ni Mungu na kwa mantiki hyo maandiko ya biblia ni batili au??Kila kitu ni mpango wa Mungu labda kama hujui filosofia ya imani za dini.
Hata shetani ni mpango wa Mungu.
Hata shetani ana haki sawa na wengine kwa Mungu ndio maana yupo kwa ridhaa ya Mungu.
Kama shetani anaweza kuipinga CHADEMA na isifanikiwe basi huo ni uamuzi wa Mungu!
Tanua fikra zako ili uchambue masuala kwa uchambuzi mpana!
Nani alikudanganya kuwa shetani anashindana na Mungu?Kumbuka kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika jambo lolote , haya mambo yanashangaza sana mkuu , Katika awamu ambayo ukifanya siasa unatekwa au kuuawa lakini bado watu wanajazana namna hii maana yake nini ?
Cdm kuna mkono wa mungu amekusudia ili ije itukomboeView attachment 867523
View attachment 867524
View attachment 867525
View attachment 867526
View attachment 867527
View attachment 867529
Hili haiwezekani likawa ni jambo la kawaida tu , ni lazima kuna kitu .
Ccm ni mpango wa vibwengoKila kitu ni mpango wa Mungu labda kama hujui filosofia ya imani za dini.
Hata shetani ni mpango wa Mungu.
Hata shetani ana haki sawa na wengine kwa Mungu ndio maana yupo kwa ridhaa ya Mungu.
Kama shetani anaweza kuipinga CHADEMA na isifanikiwe basi huo ni uamuzi wa Mungu!
Tanua fikra zako ili uchambue masuala kwa uchambuzi mpana!
Umekwama mkuu ko mabaya yote mwanzilishi ni Mungu na kwa mantiki hyo maandiko ya biblia ni batili au??
Watu wanaipenda cdm kuliko uhai waoKumbuka kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika jambo lolote , haya mambo yanashangaza sana mkuu , Katika awamu ambayo ukifanya siasa unatekwa au kuuawa lakini bado watu wanajazana namna hii maana yake nini ?
Kwisha habari yake huyo kwangu pakavu tia mchuziUmekwama mkuu ko mabaya yote mwanzilishi ni Mungu na kwa mantiki hyo maandiko ya biblia ni batili au??
Mwisho wa shetani huwa ni mbaya sanaNinachojua ni kwamba Chadema huwa wanashinda kwa haki chaguzi zote lkn mashetani ya Lumumba hayataki kuelewa ukweli!
Cdm ni mpango wa munguNani alikudanganya kuwa shetani anashindana na Mungu?
Hata wewe ukivua nguo utaona watu wanajazana!
Hoja sio watu kujazana, hoja ni sababu ya kujazana.
Weka kiingilio ili uone kama watajazana kusikiliza hotuba pekee!
Hiyo ni sehemu ya wananchi kupoteza muda wao kwa kiingilio ambacho ni bure.
kabisa mkuuCdm ni mpango wa mungu
Nasikia huko monduli jamaa kashatimka na ofisi amefungakabisa mkuu
Usihangaike na huyo mtu tunamfahamu vizuri sana .Umekwama mkuu ko mabaya yote mwanzilishi ni Mungu na kwa mantiki hyo maandiko ya biblia ni batili au??
Monduli hawana pa kutokea .Nasikia huko monduli jamaa kashatimka na ofisi amefunga