Je chadema kuendelea kujifananisha na barcelona

Je chadema kuendelea kujifananisha na barcelona

Mr Emmy

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,219
Reaction score
550
Namnukuu Mbowe " sisi Chadema ni kama Barcelona tunapanda kushabulia wote, tunapiga kiungo cha kati na tunarudi kulinda goli kwa Pamoja".

Najiuliza msemo huu utaendelea kutumika kwa sasa au umepitwa na wakati? maajabu chelsea iliyo majeruhi kama CCM kuishinda barcelona na kuitupa nje.

Poleni sana Barcelona wa Kibongo sasa turudini kujadili siasa zetu zinazovuma kama upepo wa kusi na jangwa la sahara
 
Kwani ujaona yaliyotokea jana??
Pinda kacheza kama Torres dk za mwishoni kamaliza mchezo...watu kimyaaaaa!
 
Torreeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeesssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mfano unaweza kubadirika kutokana na wakati ,matukio na mazingira.
 
Ccm ndo baca make wote wanashinda kwa kuchakachua, tofauta ni kwa mmoja anaiba kura, mwingine anategemea penart na redcard ila wate wanahonga ccm wapiga kura baca wamuzi,. Mmenipata nafikiri jaman
 
Back
Top Bottom