Je, CHADEMA hawaelewi maana ya Lockdown?

Katika watu niliowadharau na waliojionesha rangi yao ni upinzani.. hawa jamaa ni wabinafsi kwakweli..

Wao wanawaza kupinga tu bila kuangalia wananchi wanataka nini.. shenz kabisa
Unataka kusema wananchi wa Tanzania wanataka corona au?
 
Kweli akaunti benki hatuna lakini tunazo mpesa, tigopesa n.k. Rais alisema nchi ina akiba ya miezi 6 ambapo anaweza kulisha nchi nzima bila hata mjusi kufanya kazi.

Sasa ni wakati wa vitendo. Apige lockdown na aturushie milioni 6 kila mtu kwenye mpesa, ttcl pesa, airtel money yake.

Natoa angalizo hiyo akiba ni ya Watanzania wote asije akawatumi Lumumba peke yao
 
Hao wahuni ambao wakija ccm wanapewa uongozi hivi unaachoandika hapa unakielewa kwei wewe fuko?
 
Ona maswali mnayouliza sasa.. upelekwe mirembe ulalamike.
Kwani wewe hapo juu umeandika nini? Au kwa akili zako za kushikiwa hujui Kama lockdown ni kinga ya kuambukizwa corona
 
Kwani wewe hapo juu umeandika nini? Au kwa akili zako za kushikiwa hujui Kama lockdown ni kinga ya kuambukizwa corona
Hivi hata shule ulienda?? Nani alikwambia lockdown ni kinga ya corona😂😂
Kumbe napoteza muda kujibu jitu linalojua eti lockdown ni KINGA ya corona..

Nisamehe chief sitakujibu tena🙌🙌
 
Hivi hata shule ulienda?? Nani alikwambia lockdown ni kinga ya corona😂😂
Kumbe napoteza muda kujibu jitu linalojua eti lockdown ni KINGA ya corona..

Nisamehe chief sitakujibu tena🙌🙌
Lockdown ni nini mkuu,wewe msomi?
 
Mara nyingi watu wa nchi zinazojitambua huwa kwa majanga kama hayanwanafocus kwenye common solution ila tu nchi twetu mawazo mbadala hayana national issues hata chanjo ikipatikana ya gonjwa hili mawazo mbadala yatakuwa ni kutotumia chanjo aghalabu hata nchi ikiingia vitani mawazo mbadala yatakuwa kuwa upande wa adui . Hizo ndo akili za siasa za kiafrika.
 
Mwana lumumba akiwa makao makuu ya chama,akitoa maana ya lockdown

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukianze kupukutika kama kuku wenye kideri uje utupe na uwezo wa Serikali yetu kututibu...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…