Je, CHADEMA hawaelewi maana ya Lockdown?

Mkuu subiri corona ichanganye ndipo utagundua kumbe heri ya nusu shari. Tofauti itakuwa tutakuwa tulikwisha chelewa na hapo tena mjukuu atakuwa keshaitwa mjukuu.
Ungelikuwa na busara ungeliomba Mungu usichanganye, Africa tunamazingira magumu sana tunayoishi. Kuna watu wana watoto wanne na wanaishi kwenye vyumba viwili. Maisha yenyewe haya ya kununu nyanya na dagaa kila siku ili ule. Nani ataweza? Hata Usa watu walioathirika sana ni watu wa kipato cha chini. Weusi na Latinas wengi ndio wameathirika sana.
 
Mkuu unataka kusemaje hapa?unajua msingi wa "fyatueni watoto nitawasomesha bure" unajua kwa nini tumefuta program za uzazi wa mpango?population kubwa means nguvu kazi kubwa na maendeleo makubwa.hata Kodi inayokusanywa toka watu wengi ni nyingi kuliko inayokusanywa toka watu wachache unless Kama unataka kusema population kubwa Tanzania ni useless inajua tu kujisifu na kuabudu magufuli na ccm yake hata kwenye ujinga.kuhusu watu kusoma Tanzania au watanzania kufanya kazi Rwanda sioni Kama ni issue kubwa,kwani Tanzania hakuna wanyarwanda wanafanya kazi hapa? Mbona Kuna watanzania wanasoma Malawi,Kenya na nchi nyingine? Serikali ya ccm na rais wake ni hovyo kabisa Kama hii ndo sababu mnatuhimiza tukasmbukizane corona sasa mpo ikulu yetu kufanya Nini? Kuhongana Kodi zetu?
 
Umeishiwa matusi ya kutukana unakuja na kizungu manka!

Ongea na matusi ya kichaga kabisa ili tuamini mbege unayouza leo ni kali mtoto mzuri!

Here we go again: done with you buddy!

" I Do not answer you (a fool) according to your folly, Or I will also be like you!" Mwisho wa kujinukuu.
 
Here we go again: done with you buddy!

" I Do not answer you (a fool) according to your folly, Or I will also be like you!" Mwisho wa kujinukuu.
Hiyo nukuu umekuja nayo muda mrefu lakini bado upo tu.

Mtafute Nyani Ngabu akufundishe matusi ya kizungu maana umeishiwa misamiati manka!
 
We vipi bana, Kwani Tanzania si tuna Kiongozi wa Malaika? au unajisahaulisha
 
Jinga Sana we si unajua masharti ya kufuata ili usiambukizwe corona au hujui...Sasa Nani amekushawishi ukaambukizwe. Hivi una akili kweli wewe..wewe kwa sababu umeshapiga madili yako ya wizi na ufisadi unao uhakika wa kila haya miezi 6 huna shida..kwa hiyo unataka wengine ambao ni raia wema ambao Hata hawajaiba Wala kupiga dili lolote Kama nyinyi wakale wapi..au wakikaa ndani utajitolea chakula, tuambie..au unataka wakae ndani walane wenyewe kwa wenyewe, au unatakaje hasa..tatizo mafisadi mnajisahauga .mnadhani wooote ni mafisadi na wamejilimbikizia mahela..s..t.u..pi.ddd.d
 
Moja ya masharti ni epuka misongamano, wewe unanihimiza nikachape kazi,kazi yangu ipo Kariakoo,nakaa mbagala,au tageta au mbezi Luis huku msumi,nakaa gongo la mboto,sawa nisaidie naepukaje msongamano? Huko kunawa mikono kunamsaidia nini wakati nikipanda mwendo kasi hata kuweka miguu hakuna?
 
Wizi ni sera ya ccm na inatekelezwa kwa viteni kweli kweli.tafuta report ya CAG utaona jina langu.na sera hii ndo imefanya watanzania wengi wawe wabangaizaji huku mkiendelea kuwalaghai kwamba ninyi ni watetezi wao
 
Chadema wametoa tamko la kutaka kuwepo lockdown?
 

Rejea bandiko langu na lako kupima kuona busara inaegemea wapi?

Jitendee haki mwenyewe katika kutambua kuwa hayupo anayeombea hali iwe mbaya bila ya kusahau dalili ya mvua ni mawingu.
 
Watu wanadhani lockdown is a piece of cake
 
Wizi ni sera ya ccm na inatekelezwa kwa viteni kweli kweli.tafuta report ya CAG utaona jina langu.na sera hii ndo imefanya watanzania wengi wawe wabangaizaji huku mkiendelea kuwalaghai kwamba ninyi ni watetezi wao
Tunazungumzia corona jomba...nyie so mnataka watu wafungiwe ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…