DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Kama ndo ivyo watoto wataua baba zao ili wapewe ubunge..ccm ni maiti.
Una maana ya Kikwete na Salma na Ridhiwani? Kweli wamevunja rekodi!Duhhh, umesahau ya cdm, mtu na mkwewe! Hii imevunja "record", ukikosa mrithi japo mkwe!
Una maana ya Kikwete na Salma na Ridhiwani? Kweli wamevunja rekodi!