Je CCM ni chama cha ukoo! Vigoo na watoto zao?

kila kukicha, RIDHIWAN mara JANUARY MAKAMBA mara HUSSEN MWINYI, mara NAPE NNAUYE, na Wengine je au wataendelea kuwasindikiza wenzao? Achaneni na chama cha Ukoo wa vigogo njooni Chadema chama cha Watanzania wote!!
Nilitaka kwenda ccm nikakutana hilo niarudi nilipofika cdm nikaambiwa kuna mtu na mkwewe Mbowe na Mtei, nikaambiwa Lucy na Ndesa ni mtu na mwae nikabisha wakasemaa mbona hata mkwe wake pia ni mbuge wa viti maalumu si jamaa akasema eti na tundu lissu kamvuta dada yake kwenye ulaji wa viti vya upendeleo nikachoka kabisa nikasema adumu mch mtikila
 
kila kukicha, RIDHIWAN mara JANUARY MAKAMBA mara HUSSEN MWINYI, mara NAPE NNAUYE, na Wengine je au wataendelea kuwasindikiza wenzao? Achaneni na chama cha Ukoo wa vigogo njooni Chadema chama cha Watanzania wote!!
Bado Vita na Zamaradi Kawawa,Nchimbi, & Co,Makongoro Nyerere,Malima orodho ni ndefu, wao wanadai wamekulia na kulelewa CCM,sijui wengine wamekulia na kulelewa wapi
 
CCM ni chama cha kifalme, chimbuko lake ni kurithishana au mtawala kuchagua nani arithi iwapo familia yake ni vichwa maji. Hii ndio definition ya Democracy kwao. And they don't give a **** what are saying now in JF. Mungu Ibariki Tanzania na Mungu ibariki TANESCO
 
umemsahau Adamu Malima yule ambaye baba yake alitaka kuifanya nchi hii iwe ya SHARIA. si ajabu akawa Waziri Mkuu wa 2016.
 
CCM ni chama cha kifalme, chimbuko lake ni kurithishana au mtawala kuchagua nani arithi iwapo familia yake ni vichwa maji. Hii ndio definition ya Democracy kwao. And they don't give a **** what are saying now in JF. Mungu Ibariki Tanzania na Mungu ibariki TANESCO
ameeeeen ubarikiwe pia na wewe
 
CDM chama cha ukoo wa mtei na ukimuona mtu kaingia na hayuko kwenye ukoo bas atakuwa ni shemeji,mkwe,kivele na wakiishiwa wanaenda kwa family friends nyie wengine mtapiga tu mavuvuzela
 
Nauliza, je katiba ya mafisadi ccm inasema baba akifa mtoto amrithi mama?? Nauliza hivyo kwa sababu naona hilo linahalalishwa sasa katika vifo vya wabunge. Nadhani itafikia wakati watoto watawaua wazazi wao ili waukwae ubunge. Ni chama cha kurithiana? Mf. kikwete akifa sasa riz one akataka rais ni nani atakayemzuia maana hali iko wazi??. Kwa hili ccm mafisadi mnajichimbia kaburi polepole lakini kwa uhakika.
NAWASILISHA MNISAIDIE ILI NAMI NIJIANDAE KUKWAA JIMBO MAANA HALI YA BABA SI NZURI AT ANY TIME ANAPUMZIKA.
 
Back
Top Bottom