Je CCM ni chama cha ukoo! Vigoo na watoto zao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je CCM ni chama cha ukoo! Vigoo na watoto zao?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sumasuma, Jun 26, 2011.

 1. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kila kukicha, RIDHIWAN mara JANUARY MAKAMBA mara HUSSEN MWINYI, mara NAPE NNAUYE, na Wengine je au wataendelea kuwasindikiza wenzao? Achaneni na chama cha Ukoo wa vigogo njooni Chadema chama cha Watanzania wote!!
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,149
  Trophy Points: 280
  Duhhh, umesahau ya cdm, mtu na mkwewe! Hii imevunja "record", ukikosa mrithi japo mkwe!
   
 3. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pemba hawajambo we mwanamke,umeshawapa tigo.
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kama vile mwinyi na mama city,malechela na kilango,jk na mama salma,
   
 5. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umewasahau kina NAPE NKAUYE,,na wenzao wengi tu maofisini,inatisha CCM ni sehemu ya kuchumia mali ni sehemu ya kuibia kodi za watanzania,CCM ni chama cha ujangiri mana kwao rushwa ni halali,kuipeleka nchi gizani ni halali.ANGUKO LA CCM LIMETIMIA.
   
 6. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  cdm imevunja rekodi wapi wakati makamu m/kiti wa ccm mkewe ni mbunge viti maalum, spika aliyepita mkwewe alikuwa waziri awamu ya kwanza ya jk na sasa ni mbunge maalum ccm, dizani za mtu na mkewe ccm hazina idadi
   
 7. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hili ni tatizo baya na kama linaweza kuepukwa itakuwa vema zaidi. Lakini kama Faizafoxy alivyodokeza, kilio dhidi ya tatizo hili kinatakiwa kupewa upeo mpana maana linagusa vyama vyote viwili, yaani CCM na Chadema. Ni dynasty ambayo haipaswi kuangaliwa kwa jicho moja maana hata Chadema kuna baba na mwana, Baba mkwe na mkwewe, dada na kaka n.k.
   
 8. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Siku hizi kila thread Magwanda na Magamba wapigana vijembe! Aaaaaagggggrrrr!!
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama wanaqualify hizo positions hatuna haja ya kuwaonea donge!
   
 10. hKichaka

  hKichaka Senior Member

  #10
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watajiju nchi itawashinda sisi tunashangazwa sana hii nchi siyo ya kifalme wanaachiana uongozi tu ..........
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,149
  Trophy Points: 280
  Unanchekesha, kwa hiyo? hapo unachanganya serikali na chama, tuoneshe vyeo vya kwenye chama.
   
 12. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Vita kawawa, zainabu kawawa,
   
 13. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzie. Tena Chadema matatizo yako kwenye teuzi za ubunge wa viti maalum.
   
 14. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  umesahau na kawawa family, sokoine etc wapo bungeni magamba party wanaposema chama kina wenyewe they mean it. Hapo hujawahesabu concubines wao wa viti maalum. But their days are numbered.
   
 15. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ndesamburo, Lucy Owenya, Grace Kiwelu, Christina Lissu, Tundu Lissu, Zitto Zuberi Kabwe, Mhonga etc.
   
 16. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Mbopo, umesahau na yule Demu wa a loser Dr Slaa, nae ni mbunge sio huyu mjamzito kuna mwingine jina limenitoka
   
 17. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Sasa mada za aina nadhani si za kuletwa hapa.Hatuwezi kuendelea na ujinga huu. Lakini issue ya Chadema huwezi kulinganisha na na CCM.CCM wako madarakani miaka 50 sasa na wamekuwa wakiwatisha watu kutokuacha kuwaunga mkono .Chadema wakati wana anza wengi mlikuwa mnawabeza wachache wakabakia kuendeleaa kupambana na ndiyo waliopata nafasi hizo na hasa viti maalumu.Chadema wasingaliweza kwenda mitaani na kuwa pick watu wasio jua lolot juu ya Chadema. Leo mnasema ni chama cha ukoo si kweli .This time teuzi za viti maalum zimekuwa fir mno maana kila kona wamepat swala hili halipo Chadema sasa CCM wanakufa na Udini .Yes CCM kurudia majina yale yale ni uchuro .Hivi ina maana chama cha umri wa miaka 50 kweli hakina watu hadi majina yale yale yajirudie ? Chambueni kwa haki acheni ushabiki .
   
 18. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Rose Kamili
   
 19. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  UNAFanana na avetor yako....... shenz
   
 20. Romance

  Romance JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wewe na umasikini wako ulikua na nafasi ya kusoma siasa na jinsi ya kurubun? wewe tulia hapo wasomi wa kurubuni ndo hao.
   
Loading...