sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,053
- 1,304
Habari wakuu
Wajuvi wa mambo na wenye usoefu na siasa za Tanzania naomba mnisaidie kwa hili kuhusu ccm kuweza kuwatokomeza vibara wote wa Mh edo ndani ya ccm
Tunamjua vizuri mh Edward lowasa tangu ujana wake amejizolea sifa nyingi, ndani ya chama anamarafiki kuanzia kiongozi mwenye cheo kidogo mpaka kikubwa pia ninaamini 80% ya viongozi wote wa ccm sasa ivi washawai kufanya kazi na Mh Edward lowasa, lakini siyo kufanya nao kazi ni watu wake wa katibu maana sifa ya muheshimiwa ana convincing power ndani ya chama hata nje ya chama, nina Iman hata Rais wa sasa alimkuta muheshimiwa Edo ndani ya chama,
Kitu ninachojiuliza je kwa hawa waliofukuzwa chama ndio vibaraka pekee wa Muheshimiwa Edo, kama siyo je, ccm itaweza kweli kuwaondoa/kufuta kabisa vibaraka wa Edo chamani au chuki binafsi zimetumika kuwaondoa hawa waliondolewa