Je, Captain Tesha ni nani?

Je, Captain Tesha ni nani?

Ashampoo burning

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2023
Posts
1,296
Reaction score
3,929
IMG-20251004-WA0008.jpg


Je kweli ni mwanajeshi au kavaat mavazi jeshi

Je ni kweli yupo kikosi cha anga

Je kuna watu wamesoma nae majirani wanaweza kuthibisha kuwa ni mwanajeshi

JWTZ pia watoke watoe tamko nani ni captain tesha

Kachafua hali ya hewa sana leo hapa nchini
 
Na kasema amemuandikia barua CDF afanye jambo nchi ipone sasa mimi ni nani nikatae na anapoongea anamlenga CDF moja kwa moja kwamba afanye jambo mimi nani nipinge?
Kuna watu huwa hawajiongezi. Mimi ningekuwa na shaka kama angekuja amevaa mask na asitaje jina wala kikosi aseme tu "mimi ni mwanajeshi bla bla bla"
 
Back
Top Bottom