Je, bunge la Tanzania ni useless?

Je, bunge la Tanzania ni useless?

Kitendo cha Bunge la ULAYA kukaa kujadili mambo yaliyopaswa kujadiliwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake bunge la Tanzania ni useless?

Mhimili mfu?

Au ni bunge linalotumikishwa na mhimili mmoja wapo ?

Bunge la kusifu na kuabudu?

Kama Dar es salaam hii ambapo ni kitovu cha biashara watu wanashindia mihogo na maji ya mia hali ikoje huko mikoa mingine?

Wabunge wao wako Dodoma kutwa kutwa wakimsifu Rais ili majina yao yasikatwe kwenye kura za maoni.

Bunge lifutwe, wakurugenzi wa wilaya, miji na manispaa watafanya kwa ufasaha kazi za wabunge za kimaendeleo na zile za kisheria wizara ya sheria watazifanya .

Sheria gani ya kutungwa na mtu wa kusifu na kuabudu?

Sheria gani ya kutungwa na STD 7?
Tuache MASIHARA
lawama oyote ya bunge juu ya orodha akae Magu
 
Ni more than useless. Nadhani ni obsolete and toxic.
 
Ni useless ndio, juzi walikua wanjadili Kariakoo derby WTF?
 
Katika mihili yote 3, ni Bunge pekee yake ndio kuna wakati huaga halipo hai. Miezi 2 kutoka sasa tutakua hatuna bunge, litakua limevunjwa, lakini there will be no way Ikulu na mahakama vikakosa mtu; tafsiri yake ni kwamba, bunge lipo pale kufata katiba tu lakini hata likivunjwa hakuna effect yeyote kwa nchi, yaani liwepo au lisiwepo bado ni sawa tu
NI KWELI KWA 100%
 
Kitendo cha Bunge la ULAYA kukaa kujadili mambo yaliyopaswa kujadiliwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake bunge la Tanzania ni useless?

Mhimili mfu?

Au ni bunge linalotumikishwa na mhimili mmoja wapo ?

Bunge la kusifu na kuabudu?

Kama Dar es salaam hii ambapo ni kitovu cha biashara watu wanashindia mihogo na maji ya mia hali ikoje huko mikoa mingine?

Wabunge wao wako Dodoma kutwa kutwa wakimsifu Rais ili majina yao yasikatwe kwenye kura za maoni.

Bunge lifutwe, wakurugenzi wa wilaya, miji na manispaa watafanya kwa ufasaha kazi za wabunge za kimaendeleo na zile za kisheria wizara ya sheria watazifanya .

Sheria gani ya kutungwa na mtu wa kusifu na kuabudu?

Sheria gani ya kutungwa na STD 7?
Tuache MASIHARA
Hivi unajua kwamba mh. Dr Tulia ni Rais wa mabunge ya Dunia? Kwa nini bunge la ulaya ilete maazimio Yao ktk bunge la JMT? Kwa sababu siasa yetu ya ujamaa na kujitegemea. Tujisahihishe na azimio la Arusha.
 
Kitendo cha Bunge la ULAYA kukaa kujadili mambo yaliyopaswa kujadiliwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake bunge la Tanzania ni useless?

Mhimili mfu?

Au ni bunge linalotumikishwa na mhimili mmoja wapo ?

Bunge la kusifu na kuabudu?

Kama Dar es salaam hii ambapo ni kitovu cha biashara watu wanashindia mihogo na maji ya mia hali ikoje huko mikoa mingine?

Wabunge wao wako Dodoma kutwa kutwa wakimsifu Rais ili majina yao yasikatwe kwenye kura za maoni.

Bunge lifutwe, wakurugenzi wa wilaya, miji na manispaa watafanya kwa ufasaha kazi za wabunge za kimaendeleo na zile za kisheria wizara ya sheria watazifanya .

Sheria gani ya kutungwa na mtu wa kusifu na kuabudu?

Sheria gani ya kutungwa na STD 7?
Tuache MASIHARA

walioko huko kunakoitwa Bungeni hawana kibali kwa sababu hawakuchaguliwa. Shithole countries ni aibu sana.

mapendekezo yako yanafaa
 
Back
Top Bottom