Je, bunge la Tanzania ni useless?

Je, bunge la Tanzania ni useless?

Kitendo cha Bunge la ULAYA kukaa kujadili mambo yaliyopaswa kujadiliwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake bunge la Tanzania ni useless?

Mhimili mfu?

Au ni bunge linalotumikishwa na mhimili mmoja wapo ?

Bunge la kusifu na kuabudu?

Kama Dar es salaam hii ambapo ni kitovu cha biashara watu wanashindia mihogo na maji ya mia hali ikoje huko mikoa mingine?

Wabunge wao wako Dodoma kutwa kutwa wakimsifu Rais ili majina yao yasikatwe kwenye kura za maoni.

Bunge lifutwe, wakurugenzi wa wilaya, miji na manispaa watafanya kwa ufasaha kazi za wabunge za kimaendeleo na zile za kisheria wizara ya sheria watazifanya .

Sheria gani ya kutungwa na mtu wa kusifu na kuabudu?

Sheria gani ya kutungwa na STD 7?
Tuache MASIHARA
NDIO.
 
Katika mihili yote 3, ni Bunge pekee yake ndio kuna wakati huaga halipo hai. Miezi 2 kutoka sasa tutakua hatuna bunge, litakua limevunjwa, lakini there will be no way Ikulu na mahakama vikakosa mtu; tafsiri yake ni kwamba, bunge lipo pale kufata katiba tu lakini hata likivunjwa hakuna effect yeyote kwa nchi, yaani liwepo au lisiwepo bado ni sawa tu
Umesema vema sana na kwa maana hii uwakilishi wa wananchi katika maisha na mwenendo wa nchi sio wa lazima saana no vile tu ni takwa la kikatiba
 
Hivyo yaani; lakini na wabunge wenyewe sasa, wala hawajajikita kwa mambo ya wananchi, wapo busy na praise and worship always; walau kuna wabunge kama kina Msukuma, J4 Kishimba walau wakisimama unaona wana jadiri issues na sio sifa kwa mtu 1.
 
Kitendo cha Bunge la ULAYA kukaa kujadili mambo yaliyopaswa kujadiliwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake bunge la Tanzania ni useless?

Mhimili mfu?

Au ni bunge linalotumikishwa na mhimili mmoja wapo ?

Bunge la kusifu na kuabudu?

Kama Dar es salaam hii ambapo ni kitovu cha biashara watu wanashindia mihogo na maji ya mia hali ikoje huko mikoa mingine?

Wabunge wao wako Dodoma kutwa kutwa wakimsifu Rais ili majina yao yasikatwe kwenye kura za maoni.

Bunge lifutwe, wakurugenzi wa wilaya, miji na manispaa watafanya kwa ufasaha kazi za wabunge za kimaendeleo na zile za kisheria wizara ya sheria watazifanya .

Sheria gani ya kutungwa na mtu wa kusifu na kuabudu?

Sheria gani ya kutungwa na STD 7?
Tuache MASIHARA
Bungeccm Polisiccm mahakamaccm wanatumia pesa nyingi kuudhofisha kuhujumu wapinzani badala ya maendeleo , mfano sasa mbowe na G55 wanakula pesa za ccm na hao hao wabunge ndiyo madalali wa biashara haramu ya kuua upinzani
 
Hivyo yaani; lakini na wabunge wenyewe sasa, wala hawajajikita kwa mambo ya wananchi, wapo busy na praise and worship always; walau kuna wabunge kama kina Msukuma, J4 Kishimba walau wakisimama unaona wana jadiri issues na sio sifa kwa mtu 1.
Wabunge sasa ni madalali wa Siasa wanahaha kuwapa pesa G55 wajitoe chadema badala ya maendeleo
 
And hence bunge hata likifutwa kwa miaka zaidi ya 5 sisi kama nchi, hakuna hasara yoyote tutakayo ipata, sana sana tutapata faid, tena faida kubwa sana tu. Tuta save a lot of money ambazo zilitakiwa kuwalipa wasiofanya kazi
 
Ni kweli kabsa Tanzania ya sasa bila Bunge yaweza kujiendesha maana wabunge hawana mchango kwa maendeleo ya Nchi
 
Wabungeccm wanawaza kuwabambikia kesi chadema kuwatuma Polisiccm kuwapiga chadema kuwaibia kura, kuwateka kuwafanyia kila unyama, Wabungeccm wa sasa hawana ubinadamu kabsa ni watu wasiomuogopa mungu tena
 
Wabungeccm si wakilishi wa wananchi ni wakilishi wa matumbo yao wanatumia pesa nyingi kuhujumu kuidhoofisha chadema kuliko maendeleo
Lakini kulikuwa na Mdee na kundi lake pia Aida yule wa Rukwa.
 
Kitendo cha Bunge la ULAYA kukaa kujadili mambo yaliyopaswa kujadiliwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake bunge la Tanzania ni useless?

Mhimili mfu?

Au ni bunge linalotumikishwa na mhimili mmoja wapo ?

Bunge la kusifu na kuabudu?

Kama Dar es salaam hii ambapo ni kitovu cha biashara watu wanashindia mihogo na maji ya mia hali ikoje huko mikoa mingine?

Wabunge wao wako Dodoma kutwa kutwa wakimsifu Rais ili majina yao yasikatwe kwenye kura za maoni.

Bunge lifutwe, wakurugenzi wa wilaya, miji na manispaa watafanya kwa ufasaha kazi za wabunge za kimaendeleo na zile za kisheria wizara ya sheria watazifanya .

Sheria gani ya kutungwa na mtu wa kusifu na kuabudu?

Sheria gani ya kutungwa na STD 7?
Tuache MASIHARA
Kitchen paty
 
Back
Top Bottom