Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,374
- 3,392
Kuna usemi kwamba binadamu/Wana adamu tumeumbwa kuwa watumwa wa viumbe wengine
nijambo ambalo sio rahisi kuliamini
Lakini kiukweli Hali ipo hivyo
Yani Kama vile ambavyo mwanadamu amemtengeneza robot kwa ajiri ya kumtumikisha au kumtumia kwenye majukumu yake
Ndivyo ilivyo kwa binadamu kwa jamii za viumbe wengine ususani jamii za viumbe mijusi/reptilians nk
Ukiya tazama maisha utagundua kwamba hakuna unacho kifanya Kika tosha au ukatosheka nacho japo sio kwa kutaka
Yani maisha tunayo yaishi NI utumwa ulio jificha kwenye Uhuru usio Uhuru kamili
Ukiwa hauna kazi uta tamani kazi lakini ukiipata kazi utatamani kazi inayo kulipa zaidi kwani utajikuta bado majukumu yako haya toshei mshahara wako
Ukiwa huna gari utatamani gari lakini ukinunua gari utatamani gari ya gharama zaidi kwani utajikuta Kama vile gari yako NI toi/mdori mbele ya wenye magari
Ukiwa huna nyumba utatamani nyumba lakini ukijenga nyumba utajikuta una hangaika na ghrama za kuitunza nyumba yako Kama..
Kodi,umeme,ukarabati. Na wakati MWINGINE unaweza kuona nyumba yako si saizi yako au kiwango Chako
Nikama vile tupo katika system/mfumo frani ambao unatulazimisha lazima tutumike sio kustareheka Wala kukaa bule
Tukiangazia kuhusu elimu utaona kwamba elimu Haitu fundishi kujitegemea au kuya Soma mazingira na jinsi ya kuishi nayo
Bari kusoma koote Kuna tufundisha au Kuna tuandaa kutegemea kupata kitu frani kutoka kwa watu frani tusio wajua/ajira ambayo nayo haimalizi matatizo yetu
Siku hizi wasomi ndiyo waizi,wasomi ndiyo mafisadi,wasomi ndiyo wanao ongoza kwa ukatiri na uvunjifu wa amani
hapa uta gundua elimu ni adui wa mazingira na utu wetu si shujaa wa utu
Kuna wakati naona kwamba umbumbumbu wa watanzania ndiyo msingi wa amani yetu
Na usomi wa wa Kenya ndiyo msingi wa maanda Mano mengi na uvunjifu wa amani ya inchi ya Kenya
Mfumo wa maisha tulio nao hautupi nafasi ya ku enjoy au kufrahia maana ya maisha Bali una tupa ugumu wa kuya frahia maisha yetu nakujikuta tuna pambana juu ya fedha na utajiri Mambo ambayo mpaka tuna kufa tuna kuwa bado tuna ya pambania bila mafanikio
Kuna Mambo mengi ukiya tazama utaona wazi wazi kwamba Kuna mtu/kiumbe/mfumo usio taka tupumzike maisha yetu yote
Nime jaribu kuchunguza chunguza kuhusu hawa matajiri wa dunia kwamba waliwezaje kufika huko?
Wengi niligundua wanaujuzi usio wa kawaida ujuzi ambao sio wa kawaida Wala sio rahisi kwa mwanadamu wa kawaida kuwa nao
Nilipo chunguza zaidi nikagundua hawakuwa bina damu wa kawaida na nilipo wachunguza zaidi nikagundua sio viumbe wa kawaida/binadamu wa kawaida
Wengi sio viumbe wa sayari hii wengi Wana tokea sayari nyingine na wamejificha kwenye sura au miili ya kibina damu lakini sio bin adamu na hata Kama sio kutoka sayari nyingine Basi wao sio Kama sisi
Kuanzia vyakula vyao ulaji wao nk hakika wao sio Kama sisi
Viongozi wengi mashuhuri wa serikali za dunia hii mpaka viongozi wakuu na mashuhuri wa kidini Kama Pope's, music's Artis,wengi sio binadamu wa kawaida
Wengi ni reptilians/viumbe jamii ya mijusi
Nakumbuka Kuna kauli aliwai kuisema Putin kwamba marikia/queen eriza bet na sio huyo tu Bali family yote ya kifalme/royal family sio Wana adamu wa kawaida
Na katika uchunguzi wangu naona Kama Kuna Ukweli kwamba uingereza ni taifa ambalo chui wana tawala kondoo/wanyama Wana tawala binadamu
Je! Wao Wana tutazama vipi sisi?
Je! Wana tutazama Kama Robots tunaonwafanyia kazi nawao wanakula jasho letu kwa starehe huku sisi tukiwa pambania kwa kumwaga jasho kila
siku
je! Wana tutazama Kama chakula/mifugo yao Kama tuwa tazamavyo ng'ombe,mbuzi,kondoo,na ngulue au kuku?
Mwisho nikwamba huko marekani USA Ina sekana kwamba Kati ya watu 10 wa kawaida Basi watatu au wa wili sio binadamu wa kawaida.