Je, Bill Gates ni uzao wa shetani?

Je, Bill Gates ni uzao wa shetani?

Bill Gates ni mmoja kati ya bloodline ya Rothschilds, the richest family of all time, Illuminati family. Familia iliyochanganya damu yao ya Lucifer na kuwa watoto wake, hicho ndicho kizazi cha nyoka, ukisikia kizazi cha nyoka ndicho hicho pamoja na wengine walikuja, so wanadamu. Na plan yao ni plan ya lucifer, that's why wanamiliki au kuhusika katika kuchangia mashirika makubwa WHO, UN, World Bank na mengine mengi yakiwepo na kijasusi kwa kwa nia ya ku-control the world by controling everything, even humans. Sasa wanakamilisha mpango wa New World Order kama dream ya baba zao. Malaika walihasi mbinguni na kuchafua na kufanya uharibifu katika uumbaji wa Mungu katika kila kitu. Moto, wanyama wa porini, binadamu, ardhi na anga.

Mungu hashindani na lucifer, maana Mungu aliye hai ni Mungu mwenye nguvu na mamlaka makubwa, amewahifadhi hata siku ya hukumu, hizi ni nyakati za mwisho, Mungu amewaruhusu kufanya walichokishindwa kipindi cha Nuhu, kipindi cha Pharaoh na vipindi vingine vyote. Hii pandemic ni majaribio ya hilo litakalo kuja, ndiyo maana analazimisha vaccines to all over the world especially African people. Ili uweze kusafiri na kuajiliwa lazima upate vaccine ili usiambukize wengine. So nini kipo nyuma ya kapeti kuhusu vaccines, hatari sana.

So, kama binadamu lazima utambue adui yako ni nani ili imani yako iwe kubwa na thabiti, bila ya kumjua adui yako huwezi kumkwepa. Tambua anti-Christ anakuja na agenda au mfumo wa dunia unaitwa New World Order, one world religion. Kama anti-Christ anakuja basi tambua yupo christ wa ukweli nae anakuja, ila lazima yote yatimie ndipo ule mwisho uje na mwana wa Adamu (Yesu Kristo) atarudi baada ya anti-Christ kuja kuteka dunia kwa kutumia alama yake ya mnyama (mark of the beast) 666. And why corona ipo calculated na 666? Jiulize hilo, ujue kuna jambo kubwa linakuja na baya zaidi katika sura ya mwanadamu. Kupitia Yesu tutaokolewa, ila ukimwamini kama mwana wa Mungu aliye hai aliyekuja kumwaga damu yake kwa ajili ya wanadamu.

Na shida ni kwamba wanadamu hawakujua thamani ya damu ya Yesu. Ilikuwa na thamani sana na kwasababu haya yalijulikana yatakuja kutokea kwamaana Mungu aliye hai ni mwanzo na mwisho. So Bill Gates he just a agent with a lot of demons inside him au anaweza akawa sio binadamu kabisa kama mimi na wewe, sababu wapo hao viumbe (aliens [emoji89] ) au reptilians human hybrids" kwenye logo nyingi sana za afya duniani utaona nyoka wawili wamezungukana kama DNA, zingine wamezunguka mti wenye mabawa, hayo mabawa ni ya lucifer, na wale nyoka ndicho kizazi chake ambacho kinafanya kazi ya kuendekeza kazi za wazazi wao ambao ni fallen angels. NASA na zingine zote wanamiliki wao kwa ajili ya kujiandaa na kumchunga Yesu atakaporudi ili wafanye vita nae pale mpinga Kristo atakapoingia kwenye scene, ila wataanguka kwa aibu sana.

Kipindi hicho wanadamu tunatakiwa kuwa majasiri sana sana sana na kumwamini Mungu aliye hai aliyetuumba mpaka akamtuma mwanae wa pekee awe mfalme wetu na njia ya kweli kufika kwa baba take ambae ni baba yetu wa kweli, sio baba watakatifu wa duniani au Pope Kiitaliano, au father kwa Kiingereza. Mathayo 23:9" Wala msimwite mtu Baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. Na kwasababu Mungu alituumba anafahamu kwamba tuna baba mzazi, ambae mungu aliye hai anamtambua na ndiyo maana akasema kupitia Kutoka 20:12. Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na bwana, Mungu wako.

Mungu wetu ana akili sana sana hatuwezi hata kumfananisha, na kwasababu anatupenda alitupa taarifa tupate ufahamu. Tuwe majasiri na tumuombe Mungu hekima yake na atujaze roho mtakatifu tuzidi kuyaona haya na watu wapate kuwatambua maadui wa wanadamu wanasababisha mengi sana, hata kusababisha watu wasimjue Mungu wa kweli, maana hata tangu udogo wetu tulianza kufundishwa kuwa hatukuumbwa ila ilikuwa evolution process. Eti tulikuwa bacteria mpaka, tukawa samaki, mara tukawa mjusi, mara tukawa nyani, mara tukawa binadamu.

Hii yote ni udanganyifu mkubwa unaofanywa na kijazi cha nyoka mmoja wao ni Bill Gates, kwasababu kuna mpuuzi mmoja ambae inawezekana nae akawa si binadamu baada ya kuwakashifu binadamu kuwa ni viumbe weak, hawana akili, hawaishi muda mrefu kama wao. Hapo ndipo utajiuliza kwanini pyramid lipo kwenye dollar ya marekani na wanaitukiza kama ibada ya mungu wao. Na biggest pyramid ipo Africa, ila zipo nyingi sana karibu all over the world, zingine zipo hadi underground katika miji ya zamani iliyofukiwa na gharika katika kipindi cha Nuhu.

Sasa hivi tupo kwenye chekecheo la Mungu, watenda mabaya watazidi kutenda mabaya, watenda mema watazidi kutenda mema, na hata mataifa yote kila mtu anarudi kwao, dunia nayo inajigawa kila siku mataifa yanajitenga, kuna sababu. So tuwe majasiri na kuzidi kusameana kwa kadri tuwezavyo, tupendane kwa kadri tuwezavyo, tuombeane kwa kutumia jina la Yesu, jina tulilopewa kwa kila mwanadamu ili tupate ukombozi na ulinzi zidi ya siku hizi za mwisho. Mengi sana yanakuja na yakutisha sana. Si lazima kukubaliana na mimi, lakini mwenye sikio na asikie na mwenye kuyaona haya hazidi kuyaona ili ajiokoe yeye na kizazi chake chote.

Mungu aliye hai, Mungu aliyetuumba awabariki sana sana sana na awape nguvu ya kushinda, ninyi na familia zenu na ndugu zenu na majirani zenu na marafiki zenu, kwa jina la Yesu Kristo aliye hai. Amen

Sent using jamii forums mobile app
Endelea na ujinga uliokujaa kichwani hii nguvu ungeitumia kazini au kuzalisha ungekuwa forbes sasaiv.
 
Mkikaa na njaa muda mrefu mnaanza wazushia upumbavu wenye pesa. Wewe na haya mawazo yako na wenzio ndo uzao wa nyoka. Nyie ndo mashetani na chuki zenu mbwah nyie, badala ya kutafuta pesa mnatafuta watu, mtabaki maskini hivyo hivyo.😂

Uongo mtupu.
Huwezi kuchanganya damu na shetani...lucifer
 
Ulivyofikia hapo tu kusema Billgate Ni watoto wa Lucifer,nikaishiwa hapohapo kusoma maana hiyo Ni sawa na wale wanao semaga habari za Freemason .
 
Roho za umasikini kuwaponda matajiri
 
Uko sawa.

60% ya WANADAMU wote duniani ni nusu mtu nusu Pepo, yaani wamechanganya uzao na shetani.

Baba ni mtu, mama ni Pepo,au baba ni mtu mama shetani.

Tangu kuumbwa Ulimwengu, WANADAMU wanazaliwa na kufa, bt mapepo hayafi yanazaana tu.

Sababu ya uzao wa Shetani kuwa wengi ni kuwa, Mapepo yaliasi na yanaendelea kuzaa na WANADAMU lakini Malaika wa Mungu hawakuruhusiwa kuzaa na WANADAMU.

Wanaokufa na kwenda kuzimu ni wengi kuliko wanaoenda Mbinguni, ndo sababu idadi pia ya WANADAMU mixture na mapepo ni kubwa sababu watu washukapo kuzimu baada ya kufa Shetani huwarudisha duniani kama mizimu na Malaika wa Giza kuzaa na WANADAMU na kupambana na uzao wa Mungu.

Na mtu akifa ktk dhambi akashuka kuzimu hubadilishwa kuwa Malaika wa Giza.

Ni kama ambavyo mtu akifa na kwenda Mbinguni hubadilishwa form na kupewa mwili kama wa Malaika .

Tofauti ya Malaika na mwanadamu aliyeko Mbinguni na Malaika ni WINGS. Mwanadamu Hana wings bt he or she can fly.

Aamen
 
Na subiri aje atangaze kuwepo kwa mlipuko mwengine wa Gonjwa Hatari.
#Qanon
science w/o Humanity
 
Bill Gates ni Genius, binadamu wengi sana hata wakipewa maisha ya miaka 1000 mara 2 hawatakaa wafikie hata robo ya jinsi Bill Gates ameibadilisha dunia kwa hali chanya.
 
Aisee haupo siriuz unamdhalilisha mtaftaji na mpambanaji wa watu bila kosa,fikra km hzi hazijengi kamwe kwahyo na wasioamn huyo yesu bado kwisha habari yao? Zile imani potofu hasa ndo hizi tatizo utamwona kila mtu mbaya ukimtazama kwa nia mbaya .Kakukosea nini? Hizo siku za mwisho haziji nakuhakikishia mpka utakapo kufa hutaona siku ya mwisho ,kwanini usijiulize yesu alikufa lni na mpaka leo hajarud wakt alowaacha aliwaambia hakawiii !! Nawasi wasi kipigo alichokipata siyo cha kitoto hahaa

Wala hajakosea wachache watamuelewa muanzisha mada lakini kwa Siye tuliopo jikoni tunalijuwa Hilo . He is the devil himself asisahauliwe na Klaus Schwab
 
Back
Top Bottom