Kwani kuna faida zipi endapo ukimtoa mtu bikra??Inawezekana..... maana mimi sikutoka damu.
Ila afadhali tu huyo aliyeitoa hakujua kama yeye ndo wa kwanza ANGEJISIFU sana fala yule
Hakuna faida yoyote... huyo niliyesema angejisifu ni kutokana na kuwa miongoni mwa wanaoamini ipo faida ya kumbikiri mtuKwani kuna faida zipi endapo ukimtoa mtu bikra??
Ok, kidogo niingie msituni kutafuta bikra.Hakuna faida yoyote... huyo niliyesema angejisifu ni kutokana na kuwa miongoni mwa wanaoamini ipo faida ya kumbikiri mtu
itakua ulikua mtulivu sana mtaani au school then aliekubikiri ni wale wenye misifa flani hivi. Hongera kwa kuwa hakujua maana mtaa mzima ungejua ..Hakuna faida yoyote... huyo niliyesema angejisifu ni kutokana na kuwa miongoni mwa wanaoamini ipo faida ya kumbikiri mtu
Zimekua adimu ndio maanaYaan bikra inavo jadiliwa humu jamvini, utadhani ni kitu gani cha ajabu,
Kumbe ni kitu kinachopatikana kwa ku offer chips mayai na fanta.
Sasa si zinapatikana kwa bei rais, lazima ziwe adimu.Zimekua adimu ndio maana
Kumbe unao wengi ?!Inawezekana..... maana mimi sikutoka damu.
Ila afadhali tu huyo aliyeitoa hakujua kama yeye ndo wa kwanza angejisifu sana fala yule
Hukunielewa vizuri nadhani... nilikuwa na huyo huyo tuKumbe unao wengi ?!
Mpaka unamuita fala yule. Maana yake huna mpangoHukunielewa vizuri nadhani... nilikuwa na huyo huyo tu
Bikra Wireless Hiyo Mkuu.