Je, Bernard Membe atarejea CCM tarehe 30/04/2021?

Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba aliyekuwa mgombea urais wa ACT Wazalendo mh Bernard Membe atarejea CCM wakati wa mkutano mkuu maalum wa chama hicho mwishoni mwa mwezi huu.

Ngoja tuone.
Tangu tar 17.3.2021 hajawahi kuongea neno. Unatarajia arudi ccm wakati 2025 hataruhusiwa kuchukua fomu. Mwaka 2020 CCM waliprint fomu moja ,mwaka 2025 wataprint form ngapi?
 
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba aliyekuwa mgombea urais wa ACT Wazalendo mh Bernard Membe atarejea CCM wakati wa mkutano mkuu maalum wa chama hicho mwishoni mwa mwezi huu.

Ngoja tuone.
This is no news at all! Arejee asirejee juu yake na wanaomzunguka
 
Bila ya shaka Kikwete na Mkewe wanampigia debe arudishwe ili akagange njaa. Nasikia hali yake kifedha si nzuri hivyo kama kweli atarudi basi sidhani kama atakosa teuzi kubwa ya ubalozi katika nchi za BEBERUS au hata UN.
Nina hakika kabisa bwana yule ni lazima alituma ile mamlaka ya ushuru kuzuru vitega uchumi vyake. Kwa vitega uchumi alivyo nayo hawezi kuwa na hali mbaya kifedha. Hata aliposafiri kipindi cha kampeni nina wasiwadi kama kuna maslahi yake nje ya nchi iliguswa.

Yaani walifinywa vizuri na kisu cha moto kilichowekwa motoni 200 degrees Celsius.

Yule Bwana kaumiza wengi sema wanahemea chinichini kiume. Wote wakitoka hadharani itakuwa ni hatari kubwa Yaani credibility ya Bwana yule ni Yai Viza.
 
Walizolimbikiza kipinde kile?
 
Walizolimbikiza kipinde kile?
Huyu bwana ni tajiri ujue hivyo. Tatizo mnataka watu waishi kama mashetani🤣🤣🤣🤣. Kwa vyeo alivyopitia hasa uke UDG na mambo ya nje kipindi kile hawezi kukosa noti. Si unajua watu walikuwa wanabadilishana safari bags angani??

Kifupi kila Mtu anapambana aishi vizuri sasa na uzeeni. Binafsi sitaki stress za pesa uzeeni hivyo nakusanya haswa kihalali. Hivyo nikiwa kwenye account nina1bn nikiweka FDR kwa hata 10% ni 100m nikikatwa tukodi napata 90m. Nikigawa kwa 12 akapata over 8.5m kwa mwezi. Hivi nikiwa nimestaafu shughuli ZANGU lakini Nina hiyo assurance plus mapato ya biashara si nitakuwa vizuri tu?

Mkuu jenga future yenye pesa ukiwa kijana. Usiogope wale wanaotaka tuishi kama Devils. My foot.
 
Nina hakika kabisa bwana yule ni lazima alituma ile mamlaka ya ushuru kuzuru vitega uchumi vyake. Kwa vitega uchumi alivyo nayo hawezi kuwa na hali mbaya kifedha. Hata aliposafiri kipindi cha kampeni nina wasiwadi kama kuna maslahi yake nje ya nchi iliguswa.

Yaani walifinywa vizuri na kisu cha moto kilichowekwa motoni 200 degrees Celsius.

Yule Bwana kaumiza wengi sema wanahemea chinichini kiume. Wote wakitoka hadharani itakuwa ni hatari kubwa Yaani credibility ya Bwana yule ni Yai Viza.

Kama waliumizwa ujue wao waliumiza sana na walikuwa na nia ya kuumiza. Wengi mnaongea sana bila hata kujitahidi kumjua JPM kiundani bila kujiwekea makando ya mnayoskia kwa watu ambao lazima waseme hayo ili wawe relevant. Take time and try to kumjifunza JPM kwa watu wanaomjua na sio wanaoconclude kimaslahi.

Hajawahi kujifanya mkarimu pale ambapo Hana nia ya kuwa mkarimu. He was straight as they come. Ndo mana kuna wakati lugha yake ilikuwa ngumu sana kwa masikio. Ile ikwambie kuwa huyu mtu huhitaji kumtungia, atakachokifanya hawezi kufanya gizani.
 
Membe atarudi (hakuwahi kuhama in actual sense) ili ale mema ya Nchi na kula pensheni yake vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom