Je, Bernard Membe atarejea CCM tarehe 30/04/2021?

Alishindwa kunuka Yani , du iliniuma Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
BM badala ya kujenga hotel ya kitalii kuendeleza mji wa Lindi akajenga Mtwara kwa matarajio pangechangamka kutokana na miradi ya gesi na makaa ya mawe. Hoteli yake iko mahali pazuri sana kama angeshirikiana na wizara husika za utalii, biashara na uwekezaji ingekuwa mbali mno. Hotel NAF is located at the best sea view and mangrove trees outlet advised to book for your reservations.
 
Vipi haikubomolewa na mwendazake
 
Bila ya shaka Kikwete na Mkewe wanampigia debe arudishwe ili akagange njaa. Nasikia hali yake kifedha si nzuri hivyo kama kweli atarudi basi sidhani kama atakosa teuzi kubwa ya ubalozi katika nchi za BEBERUS au hata UN.
Nimemuona mtu kama yeye leo kwenye Defender nyeupe akiwa amepakia magunia kibao. Cjui katoka shamba kuvuna!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Vipi haikubomolewa na mwendazake
Hapana tena imeboreshewe vizuri sana barabara inaambaa na bahari unafurahia upepo mwanana. Kasoro ni yeye kutoipaka rangi ya kuvutia kulingana na mazingira na upendeleo wa watumiaji. Mkuu unakaribishwa Shangani highway Mtwara, ilibaki kidogo tu iwe jiji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom