je?bao moja tu naweza pata HIV? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je?bao moja tu naweza pata HIV?

Discussion in 'JF Doctor' started by BAGAH, Apr 26, 2012.

 1. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...mm ni ME,nimekutana na msichana bahati nzuri pakawa ni faragha...(mimi na yeye tu)...tukajikuta tumechezeana takribani 30min...wote hoi! kidume nikashindwa kuvumilia...nikachomeka mambo kavkav!...ofcoz sikukawia...shampeni ikafunguka na kumwagika!...sasa nikaanza kuwaza,je kama yule mtu ana ngoma naweza kupata?

  NB: sina kidonda wala mchubuko katika uume wangu!
   
 2. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Ilikua bahati nzuri enh??kapime alafu ndo utajua kama ilikua bahati nzuri au mbaya
   
 3. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,978
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kwani Mimba inaingiaga baada ya mabao mangapi?Wewe subiri miezi 3 nenda kapime Angaza acha kujipa Moyo kijana.
   
 4. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  nenda kapime kama huna subir miezi mitatu hlf pima tena
   
 5. F

  Fofader JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Kama 24 hrs hazijapita wahi kwa madaktari kuna dawa wanaweza kukusaidia kama wanavyofanya kwa rape victims. Usichelewe!
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Toto Junction.....
   
 7. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,719
  Likes Received: 822
  Trophy Points: 280
  njia mojawapo ya kupata maambukizi ya vvu ni kufanya mapenzi bila kinga na mtu ambaye tayari ameshaambukizwa!

  hayo mambo ya sijui michubuko,goli moja,kuoga baada ya tendo ni upungufu wa matumizi ya akili!
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kwani virusi wanaingiaje kwenye damu yako?...kama hutaki kuzungumzia michubuko?
   
 9. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  watoto hawatoi wazungu bana!
   
 10. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nadhani sasa ni masaa 72
   
 11. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mimba na ukimwi ni kama usiku na mchana boss!
   
 12. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  mkuu sasa virus wanaingiaje kwenye mwili wa mwenza wake? kama hapajatokea michubuko?
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Pole,anza kununua nepi,ili wkt ukiwa unaharisha zweze kukusaidia.
   
 14. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  sio pampas Senetor
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hapana, ....endelea tu moja, moja, moja,....utajiepusha nao.
   
 16. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ...................
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hata robo goli unaukwaa wacha goli moja.

  Unao huo!
   
 18. paty

  paty JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  hauna mwaya, wala usiende hata kupima lol
   
 19. mnyongeni

  mnyongeni Senior Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  haujapata ila, acha hako katabia, kwa sababu ilikuwa bahati mbaya baada ya kuzidiwa. ila siku nyingine usirudie, kwani haitakuwa bahati mbaya tena......... sawa?
   
 20. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Kama iliingia bila kupata upinzani inapoingilia, usipate hofu
   
Loading...