Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,675
mkuu sasa virus wanaingiaje kwenye mwili wa mwenza wake? kama hapajatokea michubuko?
elimu ya ukimwi ni pana sana!epuka kuchukua maarifa ya mtaani!virusi vya ukimwi hukaa ktk majimaji ya aina mbalimbali mwilini ikiwemo hata manii na majimaji ya ukeni!kama yule dada ni positive virus vinaweza kusafiri kutoka ktk majimaji ya uke wake vikaingia ktk uume wa kijana Bagah kupitia njia ya mkojo na kama bagah amewahi kuumwa std's uwezekano ni mkubwa zaidi!huenda mpendwa wetu kijana Bagah tayari ana maambukizi!