Je Balali Yupo ama Hayupo


nasikia mchizi alikuwa muaminifu. Hakuiba chochote ila aliwajua wote waliochota mahela na laiti kama wangemuacha angewataja
 
jamaa yupo,nlipokuwa home iringa kijijn luganga ambako na ye ndo kwao nlickia kuw hakuna ndgu anaamin km kafa alaf pia ndguze weng wa kalb safar za nje naskia haziishag!

Hizo tetesi mchizi kwao Mtwango karibu na Sawala njia ya kuelekea Mgololo. mkuu jipange......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…