Mugabe wa Bongo
Senior Member
- Apr 14, 2012
- 145
- 73
Bandugu bapenzi nimekua nikifatilia makala zinazoandikwa na gazeti la Mwananchi kuhusu isue ya balali..lakin nilichokielewa mie ni kama wanapigia mstari tuu isue tulizowahi kuzisikia miaka ileee...sasa jee hivi mshkaji yupo ama Hayupo...ukweli ni upi????
Wewe ni kama nani kuuliza hilo swali!!??

jamaa yupo,nlipokuwa home iringa kijijn luganga ambako na ye ndo kwao nlickia kuw hakuna ndgu anaamin km kafa alaf pia ndguze weng wa kalb safar za nje naskia haziishag!
Wewe ni kama nani kuuliza hilo swali!!??
Muulize JK anayekwenda Marekani mara kwa mara kwamba je alishafika nyumbani kwake kuhani na kutembelea kaburi. Maana Balali ni mtu mkubwa sana haiwezekani rais na matripu yake kibao ya kwenda huko akose hata nafasi ya kwenda kuhani msiba huo mkubwa wakati huwa tunaoneshwa akiwa na wasanii mbali mbali wa huko na hao wanaoitwa madiaspora sembuse kwenda msibani? Hebu hesabia tripu za Marekani alizozipiga rais toka Balali amefariki halafu jiulize kwa msiba mzito kama ule ashindwe kufika wakati hapa misiba ya wasanii hakosekani?Bandugu bapenzi nimekua nikifatilia makala zinazoandikwa na gazeti la Mwananchi kuhusu isue ya balali..lakin nilichokielewa mie ni kama wanapigia mstari tuu isue tulizowahi kuzisikia miaka ileee...sasa jee hivi mshkaji yupo ama Hayupo...ukweli ni upi????
uliona wapi gavana alieisaidia ccm kuingia madarakani anazikwa kama nilivyo mzika mbwa wangu tu...