Je, bado unarekodi taarifa za biashara yako kwenye daftari?

Sia723

New Member
Jul 13, 2023
1
2
Habari wana Jamii Forum,

Je, bado unarekodi taarifa za biashara kwenye daftari?

Mimi ni freelance Book-Keeper mwenye uzoefu wa Zaidi ya miaka 5 na mhitimu wa Chuo cha Ifm kwa degree ya Accounting. Ni binti mchapakazi na ninaethamini kazi za watu wengine.

Natoa huduma zifuatazo kwa biashara ndogogo na za kati kwasababu naamini wengi wao si rahisi kuajiri mhasibu kutokana na size ya biashara zao, mfano wanaomiliki Bar, maduka, night clubs, wenye shule za daycare, biashara ya za nafaka kwa kubwa wa kustore kwenye magodwn, na nyinginezo..

  • Kucomputerize taarifa zote za biashara mfano mauzo na manunuzi ambazo zimeandikwa kwenye daftari na kufanya backup ya taarifa zako.
  • Stocktaking – hii itakuaidia kujua na kufuatilia kwa ukaribu kila bidhaa inayoingia na kutoka na zile zinazobaki. Pia itakusaidia kujua ni bidhaa gani ambayo wateja wako wanaipendelea sana hata kama ni kwa asilimia chache na pia itakusaidia kujua ni wakati gani wa kuongeza bidhaa Fulani kwenye stock yako.
  • Kukuandalia taarifa ya mapato na matumizi ya biashara yako, ili ikusaidie kutambua unaendesha kwa faida au kwa hasara au breakeven.
  • Pia kwa wale wanaohitaji huduma ya ku file VAT returns, PAYE, SDL, WCF kwa wakati ili kuepuka fine endapo una majukumu mengi, natoa pia hii huduma.
Pia itapendeza kama utakua na computer yako ili iwe rahisi pia kwa wewe kupitia tarifa zako kwa wakati unaouhitaji.

Napatikana Arusha, kwa wale watakoependelea huduma yangu tafadhali wasiliana nami kwa simu namba 0763050528. Unaweza ukatuma ujumbe wa kawaida au WhatsApp au kupiga simu.


Mungu awabariki wanafamilia ya JF.
 
Je kwa Mimi wa duka la rejareja na Sina kompyuta nina smartphone tu
 
Back
Top Bottom