Je, atakuwa amewekewa limbwata?

Je, atakuwa amewekewa limbwata?

Ili uamini yule jamaa wa chalinze gunia liligoma kutoka mgongoni , ni science na limbwata ni mbinu hizohizo. Tatizo wanawake wanazidisha mpaka bwana anakua kama taahira wa aina yake. Limbwata lipo omba usikwe kwani na ATM yako unamkabidhi .
 
Atakua amepuliziwa fusho la shuntama, kama vipi mwambie akupe workplan na expected cash flow projections za miezi 3 ya mbele, ukiona ka project oitflow nyingi kwa mwanamke huyo bora uvunje huo ubia kila mtu abaki na chake
 
Ile ya Mlandizi ulikuwa ni mchezo wa kitapeli, yule dogo alienaswa na mzigo alisimulia kila kitu. Aliambiwa ajifanye kama ameenda kuiba na mzigo ukakaataa kushuka. Aliahidiwa sh. Milioni moja ila baada ya project kukamilika hakumuona yule aliemuahidi ndipo alipoamua kutumia ule msemo wa Kiswahili. "UKIMWAGA MBOGA MIMI NAMWAGA UGALI"
 
Atakua amepuliziwa fusho la shuntama, kama vipi mwambie akupe workplan na expected cash flow projections za miezi 3 ya mbele, ukiona ka project oitflow nyingi kwa mwanamke huyo bora uvunje huo ubia kila mtu abaki na chake
ntafanya hivo mkuu.shukrani
 
Kama ya chalinze ni utapeli , kuna jamaa alijifanya anatembea na mke wa mtu kila akitaka kufanya vitu anaona tu flat yaani haoni kitu . Au kila ukijaribu joka linatokea . Science ipo!!!
 
Eti madai yao kuna LIMBWATA nyingine Mwanamke ananyoa zile NYWELE za sehemu za SIRI, kisha unachanganyiwa kwenye CHAKULA.

Jamani!

Mbona tunapelekana pelekana.

Unataka kuniambia CHAKULA unichanganyie na MAVUZI kisha MIMI nisione hata NYWELE moja?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom