Je, asili ya majini ni ipi?

Sasa ndio pumba gani umeandika hapa?
 
Hapa ndipo patamu kwa kuwa waislam wa kiume huwa wanazini/wanaoa wanawake wa dini nyengine hii ina maana jini anayejiviringishaaa kwenye uume wa muislam akiwa anazini na mkristo/mpagani/myahudi/mhindu/mjusi n.k ina maana jini Huyo atakuwa anawamega wanawake wa dini hizo kkkkkkk.
Dini hazina mpango
Nalog off
 
Wewe kichaa mwendawazimu kweli kweli! Azarel stupid fool!
Sawa ila umeandika.mashudu tu ISIS

sasa kwanini unatokwa povu ukiambiwa ukweli kuwa umeandika mashudu?
 
Ni ngumu kuelew kt ucchokijua na ambach ni tofaut na iman yk mpk uamue so ckushangai juu ya hil bt vym uisom vym bible yak som agano la kal na jpy utaelew zaid
 
Majini ndiyo asili yangu, una kingine ?
Sasa mkuu, mimi na wewe wote ni wabongo. Hatuna historia ya kutokuelewana ila kuishi kwa undugu na amani. Hamna haja ya kushindana wala matusi ambayo hayato tufikisha popote. Tuko hapa kuchangia mawazo tofauti hata kama tuna tunaofautiana bila kutukanana. Tuelewane na tutachingie mawazo yetu binafsi kwa amani maana itatusaidia kutuletea undugu wa kitanzania. Take it easy bro, sisi wabongo tunasifika kwa amani hata kama tunatofautiana kidini au kikabila.
 
majini waliumbwa na mungu kabla ya kuumbwa binadam ila wao wameumbwa kwa miale ya moto na asilimia kubwa wanaishi bahari kubwa na baadhi ambao wapo nchi kavu wanaishi kwenye miti mikubwa na chooni
wapo majini wanaofugwa na pia wapo wakristo na waislam na wasio na dini na jini mwenye dini uwez mkuta akidhuru mtu au kukaa maeneo machafu kwa mfano huku tanga kuna majini mawil maarufu 1)barike(jini wa kike)
2)Mguu wa chuma

hao majini huwa wanakuwepo kwa msimu katika wilaya ya pangani hao huwa hawapendi uchafu kwahivyo huwa wana muadhibu atakae kuwa anafanya uchafu ,umezini bila yajisafisha(janaba) kisha unalala. Hiyo n kesi.
Historia jini Barike inasemekana kulikuwa na msichana anaitwa barike na alifariki kisha ndio akatokea huyo jini ambaye alifanana na huyo msichana barike ndio watu wakamuita huyo jini barike



ahsante
 
Asante kwa kuniita bro! Mimi ni Goddess Isis my dear! Mwanamke haswa!
 
Asante sana!
 
Unasema Biblia imetungwa na watu.!! Nipe Ushahidi kwamba ufunuo wa Muhamad unatoka kwa Mungu Jehova. Nipe Torati na Injili na Zaburi Muhamadi na Mungu wenu Allah alivyowaambia muvisome. Wapi Torati ,Injili na Zaburi vinatutaka tuabudu na Majini?
 
Hakuna ushahidi kuwa quran imetoka kwa jehova bali imetoka kwa Allah. Kukosa migongano, na challenge ikatolewa watu watoe mfano wake, na aliahidi kuilinda na tangu ishushwe hadi leo ipo vile vile. Kwani kunasehemu nimesema vitabu vyenu vinataka muabudu majini? Au quran kuna sehemu imetaka tuabudu majini? Allah alitwambia tuvisome, lakini mmeshavichakachua. Na kuvisoma kwenyewe ni tujue yaliyoshushwa, lakini tumeambiwa tuifuate quran kwani imedumu hadi leo. Nyie hamjioni wakatoliki na wengine mnaimani tofauti juu ya kitabu chenu? Mnachagua kipi kiwekwe kipi kiongezwe ama kitolewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…