Uasi mkuu kuliko wote unafanywa kwa mara ya kwanza na maraika mkuu aliyepewa nguvu na uwezo lucifer.kujiona anatosha sasa hata kupambana na aliyemuumba anafanikiwa kuwa na wafuasi malaika wenzie.vita kubwa inazuka mbinguni kati ya jeshi la malaika mkuu mtiifu mikael na huyo ibilisi anatupwa duniani pamoja na wafuasi wake akiapa kwenda kinyume na kila matakwa ya Mungu kwa watu wake duniani.Ni uasi gani hao malaika waliufanya kwa mungu?
Na je,idadi ya hao malaika waliyomuasi mungu huwa haipungui wala kuongezeka?
Sasa hao wafuasi wake huwa wanaongezeka au wale wale tu aliyoshushwa nao?Uasi mkuu kuliko wote unafanywa kwa mara ya kwanza na maraika mkuu aliyepewa nguvu na uwezo lucifer.kujiona anatosha sasa hata kupambana na aliyemuumba anafanikiwa kuwa na wafuasi malaika wenzie.vita kubwa inazuka mbinguni kati ya jeshi la malaika mkuu mtiifu mikael na huyo ibilisi anatupwa duniani pamoja na wafuasi wake akiapa kwenda kinyume na kila matakwa ya Mungu kwa watu wake duniani.
Huyu anayo nguvu sana si masihara kama wapuuzi flani wanavyomchukulia.
Wewe unaongea vitu ambavyo huvijui na vya kipuuzi. Eti Mandela, wazungu kuchezea biblia! Nani alikwambia biblia imechezewa? Quran ndiyo imekwambia biblia imechezewa? Husiongee pumba hapa! Huna ushaidi wa kuchezewa biblia, haya maandiko yamekuwa yakilindwa na Mungu mweza yote ndiyo maana yapo mpaka leo. Muhammad wenu Ali copy na ku paste kutoka kwenye biblia!inategemea umeamua kuita jina gani kwenye kitabu chako lakini haiondoi maana halisi ya kitu mfano mandela aliitwa gaidi na mataifa yenye nguvu duniani ingawa ukweli ilikuwa tofauti.
yapo majini wakristo na wazungu ,wahindi n.k
biblia imebadilishwa na kuchezewa sana na wazungu na hii unayoisoma wewe inawezekana hata bwana trump alishiriki kwenye editing
Kila navojitahidi kusoma hilo andika ndo nazidi kupata ukakasi kama si kuvurugwa zaidi. Maana maelezo yako yamekuwa kivurugeee
Qur'an nzima inamlaani shetani na kikataza binadamu kumfuata shetani.Shetani aandike kitabu chake halafu ajipinge mwenyewe,asijisifie.Wewe unaongea vitu ambavyo huvijui na vya kipuuzi. Eti Mandela, wazungu kuchezea biblia! Nani alimwambia biblia imechezewa? Quran ndiyo imekwambia biblia imechezewa? Husiongee pumba hapa! Huna ushaidi wa kuchezewa biblia, haya maandiko yamekuwa yakilindwa na Mungu mweza yote ndiyo maana yapo mpaka leo. Muhammad wenu Ali copy na ku paste kutoka kwenye biblia!
Mungu wa biblia alithibitisha hilo kwa kusema katika:-
Isaya:55.10
Maana kama vile mvua ishukavyo, na theluji, kutoka mbinguni, wala hairudi huko; bali huinywesha ardhi, na kuizalisha na kuichipuza, ikampa mtu apandaye mbegu, na mtu alaye chakula;
Isaya:55.11
ndivyo litakavyokuwa neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma.
Kwahiyo wacha pumba yako hisiyo na ushaidi. Quran yenu haijabadilishwa lakini ni maneno ya shetani, hakiitaji kubadilishwa.
Shetani aliye mjaribu Yesu ndiyo huyo huyo shetani aliyetunga Qur'an!Qur'an nzima inamlaani shetani na kikataza binadamu kumfuata shetani.Shetani aandike kitabu chake halafu ajipinge mwenyewe,asijisifie.
Na shetani unayemtaja ni yule,aliyembeba yule aliyefungishwa siku 40,akamuweka na njaa jangwani?Alizidiwa akili na shetani.
Kwenye bible hamna msitari unaotaja jini?Kwa kuchokoza zaidi mada... Elimu ya majini kwa Wakristo na Waislamu ni tofauti ingawa wapo Wakristo ambao hubeba mafundisho au elimu ya majini kutoka kwa Waislamu na kuichomeka kwenye Ukristo kwa support ya mistari flani ya Biblia. Mfano ukisikiliza mafundisho juu ya nyota asili yake si Ukristo. Sisi Wakristo tunajua habari ya karama za Roho Mtakatifu na si nyota ....
Hivyo tunapozungumzia habari za majini ni vizuri kujikita vizuri kwenye imani yako ili kama ni muislamu tukuelewe na Mkristo ueleweke ..
Hata msamiati majini si Wakikristo ndio maana huwezi kukuta sehemu imeandikwa Yesu akatoa majini .....Biblia imechagua kwa umakini sana misamiati ya kutumia ikiwemo mapepo n.k ...
Tujiulize majini kwa tafsiri ya Waislamu ni kitu kilekile kwa tafsiri ya Mapepo ktk Biblia? Nimechokoza tu mada ..
Shetani anauwezo wa kusaulisha. Shetani husaulisha waislamu!! Inawezekana Allah naye alisaulishwa! Pia Muhammad alisaulishwa nani alijenga Al Kaaba maana hamna kwenye Qur'an kusema ilijengwa na Ibrahim na mwanawe Ishmaeli!Qur'an nzima inamlaani shetani na kikataza binadamu kumfuata shetani.Shetani aandike kitabu chake halafu ajipinge mwenyewe,asijisifie.
Na shetani unayemtaja ni yule,aliyembeba yule aliyefungishwa siku 40,akamuweka na njaa jangwani?Alizidiwa akili na shetani.
Yesu alibebwa juu kwa juu na shetani.Na alimsahaulisha kula Siku 40,akamuweka na njaa jangwani.Soma biblia.Soma Matayo 4(1-11).Shetani anauwezo wa kusaulisha. Shetani husaulisha waislamu!! Inawezekana Allah naye alisaulishwa! Pia Muhammad alisaulishwa nani alijenga Al Kaaba maana hamna kwenye Qur'an kusema ilijengwa na Ibrahim na mwanawe Ishmaeli!
Al-Anam 6:68. 68.
Na unapo waona wanao ziingilia Aya zetu, basi jitenge nao mpaka waingilie mazungumzo mengine. Na kama Shet'ani akikusahaulisha, basi baada ya kutanabahi usikae pamoja na watu madhaalimu.
Yesu hakusaulishwa na shetani maana alikumbuka kila jaribio.. Hapo ndiyo utaona tofauti ya biblia na Qur'an situkufu!
Hehe..nyie jamaa watu wakianza kuchambua biblia mnajitetea kuwa mara biblia haisomwi kama gazetil mara roho mtakatifu.Shetani anauwezo wa kusaulisha. Shetani husaulisha waislamu!! Inawezekana Allah naye alisaulishwa! Pia Muhammad alisaulishwa nani alijenga Al Kaaba maana hamna kwenye Qur'an kusema ilijengwa na Ibrahim na mwanawe Ishmaeli!
Al-Anam 6:68. 68.
Na unapo waona wanao ziingilia Aya zetu, basi jitenge nao mpaka waingilie mazungumzo mengine. Na kama Shet'ani akikusahaulisha, basi baada ya kutanabahi usikae pamoja na watu madhaalimu.
Yesu hakusaulishwa na shetani maana alikumbuka kila jaribio.. Hapo ndiyo utaona tofauti ya biblia na Qur'an situkufu!
Yesu hakupandishwa na shetani wala hakusaulishwa kula na shetani! Wewe ndiyo soma biblia uelewa! Roho ni active force ya Mungu ambayo ilimpeleka Yesu kiroho. Husisome biblia macho juu kama Qur'an!Yesu alibebwa juu kwa juu na shetani.Na alimsahaulisha kula Siku 40,akamuweka na njaa jangwani.Soma biblia.
Yesu hakupandishwa na shetani wala hakusaulishwa kula na shetani! Wewe ndiyo soma biblia uelewa! Husisome biblia macho juu kama Qur'anYesu alibebwa juu kwa juu na shetani.Na alimsahaulisha kula Siku 40,akamuweka na njaa jangwani.Soma biblia.
Huyo roho ndio shetani mwenyewe,akishirikiana na iblisi,huyo roho mchafu na huyo pepo mchafu.Ni majina yao hayo.Yesu hakupandishwa na shetani wala hakusaulishwa kula na shetani! Wewe ndiyo soma biblia uelewa! Roho ni active force ya Mungu ambayo ilimpeleka Yesu kiroho. Husisome biblia macho juu kama Qur'an!
Matayo:4.1
Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi.
Matayo:4.2
Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.
Matayo:4.3
Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate.
Matayo:4.4
Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Matayo:4.11
Kisha Ibilisi akamwacha; na tazama, wakaja malaika wakamtumikia.
Luka:4.1
Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani,
Luka:4.2
akijaribiwa na Ibilisi. Na siku hizo alikuwa hali kitu; hata zilipotimia, aliona njaa.
Yesu hakupandishwa na shetani wala hakusaulishwa kula na shetani! Wewe ndiyo soma biblia uelewa! Husisome biblia macho juu kama Qur'an
Matayo:4.1
Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi.
Matayo:4.2
Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.
Matayo:4.3
Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate.
Matayo:4.4
Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Matayo:4.5
Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mji mtakatifu, akamweka juu ya kinara cha hekalu,
Matayo:4.6
akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
Matayo:4.7
Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.
Matayo:4.8
Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake,
Matayo:4.9
akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia.
Matayo:4.10
Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.
Matayo:4.11
Kisha Ibilisi akamwacha; na tazama, wakaja malaika wakamtumikia.
Sasa kama walisilimu mbona hawakurudi kuungana na malaika na pindi walipo jaribu kurudi walikuta pana ulinzi mkali sasa si wange ruhusiwa kuingia . Hata shetani alitamani arudi tena mbinguni lakini alikataliwa aliambiwa amesha chelewa sasa kusema yamesilimu huu ni mkanganyiko mkubwaMajini ni shetani waliosilimu.
Yaani mashetani waislamu.
Roho ni active force ya Mungu. Siyo shetani.Huyo roho ndio shetani mwenyewe,akishirikiana na iblisi,huyo roho mchafu na huyo pepo mchafu.Ni majina yao hayo.
Kwahiyo kwa mujibu wa biblia haya mashetani ni malaika wa mungu?Sasa kama walisilimu mbona hawakurudi kuungana na malaika na pindi walipo jaribu kurudi walikuta pana ulinzi mkali sasa si wange ruhusiwa kuingia . Hata shetani alitamani arudi tena mbinguni lakini alikataliwa aliambiwa amesha chelewa sasa kusema yamesilimu huu ni mkanganyiko mkubwa
Mkuu hili swali unanionea mimi hata sijui,ngoja masheikh waje tutawauliza humu.Sasa kama walisilimu mbona hawakurudi kuungana na malaika na pindi walipo jaribu kurudi walikuta pana ulinzi mkali sasa si wange ruhusiwa kuingia . Hata shetani alitamani arudi tena mbinguni lakini alikataliwa aliambiwa amesha chelewa sasa kusema yamesilimu huu ni mkanganyiko mkubwa
Ndio!Kwenye bible hamna msitari unaotaja jini?