Je, asili ya majini ni ipi?

Kama ni hivyo mbona mnakataa kuwa Mungu wenu ana uwezo hadi wa kufa na ndiyo maana alikufa?

Kwahiyo unakubali kuwa Mungu wenu aliwahi kupatwa na mauti kama ambavyo Mimi na wewe tutakuja kupatwa na umauti?

[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] mkristo gani anakataa Mungu wake hakuwahi kufa!!!hili ndilo fumbo la imani ya mkristo mzee.
 
[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] mkristo gani anakataa Mungu wake hakuwahi kufa!!!hili ndilo fumbo la imani ya mkristo mzee.
Subiri watakuja hapa bora wewe mkweli unakubali kabisa kuwa Mungu wako alikufa.
 
Unaweza kuthibitisha majini yapo?
Unataka utmiweu LA kudhuru au?
 
Mkristu safi naomba uniambie maana ya ALALUYAH kama msemavyo kanisani.
 
Mtu wa kwanza kuingia ktk uislam ni Adam
 
Shetani kawafanya baadhi ya wajinga fulani kudhani Mungu hana uwezo wa kuwa binaadam.
Toa authority yyte ktk vitabu vya Mungu ambapo yesu ametamka kwa maneno yake mwnyew kuwa yeye ni mungu. Km huna shetani anakuhusu. Na unafaham hakuna, uungu wa Yesu mmempa nyinyi yeye.
 
Wao na mashetani wana asili moja
Nadhani yafaaukapitia upya juu ya uumbaji
Yule alieasi kutoka mbinguni pamoja na malaika zake wakatupwa duniani na mahala pao hapakuonekana tena ....
Na amelaaniwa tangu apo awali ...
Bilble says ole wa nchi na bahari maana ibisi ama shetani au jini au joka la zamani ameshuka kwenu.
 
Haleluya ni neno la kiebrania ...liliotumika israel lenye kama salamu na lenye kusifu ...yaani UTUKUFU JUU MBINGUNI NA DUNIANI IWE AMANI KWA WATU WOTE.....
Hapo utaikia AMEN. Maana yake IMESHAKUA UMA NA IWE IVYO ....Sasa sijui utakua unataka maana gani hao
 
Mtu wa kwanza kuingia ktk uislam ni Adam
Sasa hapo unachanganya watu kama
Kwa tarifa sahii uislamu uliingia mwaka 600 baada ya injili. Ambapo kabla ya injil kulikuako na nabii tofauti zilizo tawala sasa huo uislamu ulikuja kwa adamu kwa mujibu upi
 
Toa authority yyte ktk vitabu vya Mungu ambapo yesu ametamka kwa maneno yake mwnyew kuwa yeye ni mungu. Km huna shetani anakuhusu. Na unafaham hakuna, uungu wa Yesu mmempa nyinyi yeye.
Uungu tumempa sisi ndio, ulitaka aitwe Mungu na nani????
 
Sasa hapo unachanganya watu kama
Kwa tarifa sahii uislamu uliingia mwaka 600 baada ya injili. Ambapo kabla ya injil kulikuako na nabii tofauti zilizo tawala sasa huo uislamu ulikuja kwa adamu kwa mujibu upi
Take it from me, hyo uliyo nayo ni misconception. Uislam ulikuwepo toka Adam(a.s) na Mtume Muhammad(s.a.w) ni mtume tu wa mwisho ambaye ameukamilisha.
Kila Mtume akiwepo Yesu(a.s) aliujenga mpk maelekezo ya Mungu yalipoishia, ndipo Muhammad akaja kumalizia.
Kifupi uislam ulikuwa unajengwa taratibu kulingana na uwezo wa mapokeo au uelewa wa binadamu.
 
Halafu uwe unaacha kumtaja taja Yesu kwenye mambo ya kijinga.

Uwe unataja issa kama ulivyofundishwa.
 
Kama uislamu ulikuwapo tangu Adam, kulikuwa na haja gani Allah kushusha Qur'an na kumwambia mwamedi kwamba yeye niwa kwanza kujitiisha katika uislamu?
 
Halafu uwe unaacha kumtaja taja Yesu kwenye mambo ya kijinga.

Uwe unataja issa kama ulivyofundishwa.
Afu hawa watu sijui huwa wanataka nini tu yaan nabii wao anaitwa issa lakin kila saa yesu jaman wafuas wa lucifer nyie nabii wenu ni issa bin mariam yesu ni mungu achaneni naye hawahusu nyie bakini na issa wenu kwan shida iko wapi arifu
 
Allah alipokuwa anamshushia maneno ya Qur'an mwamedi. Hakuna hata mtu mmoja aliye pewa taarifa na Allah kuwa mwamedi atakuwa mtume na maneno atakayo ambiwa wamsikilizeni ni yaukweli.

Waislamu wanajaribu kila njia kutumia maneno ya biblia ili kuthibitisha kwamba Qur'an ni maneno ya kweli, wakati wanasema biblia imekuwa corrupted, wakati huo huo wanachagua maandiko ya biblia to suit their belief. Huwezi sema biblia corrupted alafu ukalinganisha Issa bin Mariam kuwa ni Yesu kristo.
Ndiyo maana biblia inasema watu wanajuhudi kwa ajili ya Mungu lakini si katika maarifa sahihi. Sawa kabisa na hawa waislamu juhudi nyingi lakini upupu tu.
 
Chato
 
OK nimekupata mkuu lakini pale kwenye waumini wa kwanza kuingia katika dini niandika kwa context ya jinsia kwa wanaume na wanawake ila in general natambua kuwa ni bi Aisha in concerning to majini sikumaanisha kuumbwa nilimaanisha kusilimu walisilimu baadae sana baada ya binadam kusilim hicho ndicho nilichomaanisha
 
Safi sana kumbe wewe waijua vizuri din ya khaki huyu alisimishwa na nani na aliingizwa na nan kwenye uisilamu nifafanulie vizur rafiki yangu
Yupi sasa hapo maana post yako haiko specific
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…