donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,129
Huyu jamaa dunks zake NI balaa.
Kama aliweka hela atakuwa kapiga parefuNikiiangalia Celtics sioni ni nini kinafanya watu waipe nafasi.
Kwangu siku nyingi niliona bingwa ni mshindi kati ya wolves na nuggets....so ni wolves