EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
Pita famasi uliza hakikisha unatembea nayo. 😅😅Mkuu nifafanulie KY tafadhali.
Pita famasi uliza hakikisha unatembea nayo. 😅😅Mkuu nifafanulie KY tafadhali.
[emoji23]Unakuta umetumiwa na jamaa wa makiss, siku yaja.... atakukiss[emoji16]
Jichanganye yakukute makubwa, achana na pisi za watu tafuta yako.Baaaaas! Kwa hiyo atakuwa ananipenda sio?
Mkuu, dah! Imeisha iyo.Pita famasi uliza hakikisha unatembea nayo. 😅😅
Nilimuuliza akasema yuko single. Walahi tena.Jichanganye yakukute makubwa, achana na pisi za watu tafuta yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtihani mkubwa sana huu.Nenda naye kwa tahadhari...tumia akili za juu(kichwani)kuliko akili za chini.
Tafuta pisi nyingineNilimuuliza akasema yuko single. Walahi tena.
Shukran... kesho naingia uwanjani tucheki itakavyokuwaTafuta pisi ingine
Kanisani, misikitini n.kTabia za kuombaomba mnajifunzaga wapi?