Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,802
- 7,935
Utoto raha ukaamua uje kutujazia story humu
Mluu kwanini usiandike kitabu maana siyo siri umebobeaAsilimia kubwa ya Wanawake naokulana nao Kimasihara au hata sinkimasihara..
Huwa siwatongozi direct, ila Kuna namna nawafamya ,utasikia wenyewe wanajilopokesha...
Hivi My Unanipenda kweli???
😂😂😂😂
Umeona kwa mfano huyu, anajikuta mwenyewe anajibebisha, ananipenda mwenyewe, mwisho anauliza, Hivi unanipenda kweli??
Wanawake ni wengi, zile zama za sisi wanaume kuuliza Wanawake "Unanipenda kweli???"...hizo zama zimepita wakati.
View attachment 2664542
Nina 21,, hesabu upya niliondoka nikiwa na mingapiPicha linaanza , umeondoks ukiwa mtoto mdogo mostly under 7 or exactly 7 , hence after 8 years umerudi una 15 years hence una comment jamiiforums kama mtu mzima anayejua mapenzi ,
Soo umetuona ma mbuzi siyo!!!
Akikununia wee unapata hasara gani?? Au unamtaka?Namba yake sina, ni binti tu ambaye yupo jirani na home
Achana nae fanya mambo mengine.Hapana, nimeshangazwa tu maana ni ghafla sana ..