Je, ana maana gani?

Je, ana maana gani?

Kisichana kinaonyesha kuwa kinakuhitaji kimahusiano alaf wewe hauna habari nayeye

Anakutega umtongoze umkule wewe haujatambua so anaona bora afanye mambo mengine
Hahah sio kweli mkuu
 
Habari wakuu

Nina kama miezi miwili tangu nilipo rejea kutokea nchi jirani ambako nilipokuwa nikiishi, niliondoka nikiwa mtoto mdogo sana na baada ya miaka ipatayo 8 hatimaye nimerejea.

Jirani na kwetu kuna binti ambaye nilimuacha mdogo lakini nilishangazwa kumkuta amekua binti mkubwa. Kwakuwa tumejuana kitambo tangu enzi za utoto, yalianza mazoea akawa anapenda sana utani na mimi.

Sasa kilicho nifanya niandike huu uzi ni kwamba siku za hivi karibuni yule binti ameninunia bila sababu yeyote kwani sijawahi kugombana nae wala kupishana kauli, hili limeniacha na maswali mengi inakuaje ghafla tu mtu akununie bila sababu.

Wakuu najua humu kuna wataalam wa saikolojia ya wanawake, naombeni mnisaidie nimeshindwa kumuelewa.

Nguvu moja
Wewe unaathirika na nini kwa kununa kwake?? au umepata hasara gani??
 
Binti bado yupo kwenye process ya kukua, kuwa na hasira na kisirani ni moja ya matukio ya kukua kwake
 
Nina kama miezi miwili tangu nilipo rejea kutokea nchi jirani ambako nilipokuwa nikiishi, niliondoka nikiwa mtoto mdogo sana na baada ya miaka ipatayo 8 hatimaye nimerejea
Mkuu,una miaka mingapi? 1.Umeondoka mdogo sana
2.una miez miwili toka urejee
3.Uliondoka miaka 8 iliyopita.
I can say obviously ,umeondok ukiwa mtu mzma,and huyo binti anakutak ila umeshindwa kuelewa vitendo
Au hauna ile gentleman side binti aliyotegemea ungekua nayo baada ya kurudi ni ugai gai no new exposure from the old you.
 
Nina miaka 21 mkuu,, hayo mengine siwezi kujua
 
Wanawake ni kama "kama panya wa SUA" Kishanusa hapo mifukoni anahisi harufu ya vumbi tu hamna kitu
 
Mtoto mdogo Sana + miaka 8 Ina maana unaweza kuwa na miaka 12 hivi au 11
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom