Je, ana maana gani?

Je, ana maana gani?

itakuwa kapata scendal kuwa umeathirika.
 
Rudi tena abrodi dogoo,,ukirudi tena baada ya miaka nane,,ataanza tena kukuchangamkia kama hapo kabla!!!
 
Sijawahi hata kufikiria kumtongoza, kuhusu yeye kupata mchumba ni juu yake sihitaji hata kujua,, kwa kifupi sijawahi hata kukaa kuzungumza nae ni ule utani wa juu kwa juu tu tukikutana.
Lkn unaonekana kujali. Inashangaza.
 
Picha linaanza , umeondoks ukiwa mtoto mdogo mostly under 7 or exactly 7 , hence after 8 years umerudi una 15 years hence una comment jamiiforums kama mtu mzima anayejua mapenzi ,

Soo umetuona ma mbuzi siyo!!!
 
Picha LA kihindi starling sharukh khan.
Kwenye umri na Mimi nilichoka
 
Habari wakuu

Nina kama miezi miwili tangu nilipo rejea kutokea nchi jirani ambako nilipokuwa nikiishi, niliondoka nikiwa mtoto mdogo sana na baada ya miaka ipatayo 8 hatimaye nimerejea.

Jirani na kwetu kuna binti ambaye nilimuacha mdogo lakini nilishangazwa kumkuta amekua binti mkubwa. Kwakuwa tumejuana kitambo tangu enzi za utoto, yalianza mazoea akawa anapenda sana utani na mimi.

Sasa kilicho nifanya niandike huu uzi ni kwamba siku za hivi karibuni yule binti ameninunia bila sababu yeyote kwani sijawahi kugombana nae wala kupishana kauli, hili limeniacha na maswali mengi inakuaje ghafla tu mtu akununie bila sababu.

Wakuu najua humu kuna wataalam wa saikolojia ya wanawake, naombeni mnisaidie nimeshindwa kumuelewa.

Nguvu moja
Ndugu sas hujajua ni kwann! We ulitaka akuchekee ?,jiongeze jombaa
 
Kuna watu wamemwambia wewe ni shoga
 
Mkuu jiongeze.Mliambiwa mkasomee Cuba Mambo haya,mkakaza vichwa,haya ona sasa kitu Kidogo kinakusumbua akili.
 
Habari wakuu

Nina kama miezi miwili tangu nilipo rejea kutokea nchi jirani ambako nilipokuwa nikiishi, niliondoka nikiwa mtoto mdogo sana na baada ya miaka ipatayo 8 hatimaye nimerejea.

Jirani na kwetu kuna binti ambaye nilimuacha mdogo lakini nilishangazwa kumkuta amekua binti mkubwa. Kwakuwa tumejuana kitambo tangu enzi za utoto, yalianza mazoea akawa anapenda sana utani na mimi.

Sasa kilicho nifanya niandike huu uzi ni kwamba siku za hivi karibuni yule binti ameninunia bila sababu yeyote kwani sijawahi kugombana nae wala kupishana kauli, hili limeniacha na maswali mengi inakuaje ghafla tu mtu akununie bila sababu.

Wakuu najua humu kuna wataalam wa saikolojia ya wanawake, naombeni mnisaidie nimeshindwa kumuelewa.

Nguvu moja
Carlos The Jackal , Mtaalam wa hisia za is wanawake tupe mawazo yako
 
Ok mwanamke siku zote anataka mwanaume amtake .

Wewe Mwanaume usipomtaka, MWANAMKE ANAJIDHARAU.... reaction Yao Hapa Huwa ni kukuchukia wewe

wee mwanaume ukimtaka,MWANAMKE ANAKUA KAPATA KILE ANACHOTAKA KWAHIYO UAMUZI NI WAKE ,KUKUBALI AU KUKAKATAA....reaction yao Hapa ni mapoziii sana.

Sasa ukitaka wasikusumbue, wee Usimtake ili Mfanye umle Kimasihara

Kwa case ya jamaa, Demu alitarajia jamaa kumtaka maana ni kitamboo sana hawajaonana .

Jamaa hajamtaka, kwahiyo Demu kaumia, anajidharau, anajiona labda sio mzuri.

Kwa point alipofikia jama, Dawa Sasa ni kumgonga Demu, Wala hata ASIHANGAIKE KUMTOMGOZA .

amtext tu "nahitaji kesho Twende Mahali Kwa sababu nimekumis 😋".

Ahakikishe anaruka viunzi vyote vya maswali Toka Kwa Demu.
 
Huu ni unyama 🔥
Asilimia kubwa ya Wanawake naokulana nao Kimasihara au hata sinkimasihara..

Huwa siwatongozi direct, ila Kuna namna nawafamya ,utasikia wenyewe wanajilopokesha...

Hivi My Unanipenda kweli???

😂😂😂😂

Umeona kwa mfano huyu, anajikuta mwenyewe anajibebisha, ananipenda mwenyewe, mwisho anauliza, Hivi unanipenda kweli??

Wanawake ni wengi, zile zama za sisi wanaume kuuliza Wanawake "Unanipenda kweli???"...hizo zama zimepita wakati.
Screenshot_20230621_180608~2.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom